Wahenga hawakukosea waliposema kua uyaone. Rafiki yangu mmoja ambae tupo wote katika shughuli za kusaka tonge, alikuwa na tabia yenye kutia ukakasi. Kwa umri ana miaka 30 na kidogo na bado hajaoa...
Wakuu habari,
Msishangae mbona asubuhi sana, jamaa anaandika uzi wa mapenzi? Ni kwamba usiku sijalala kutokana na kuwaza sana hili tukio. Ni kwamba ninampenzi wangu nipo naye kwenye mahusiano...
Eti unawezaje kuhesabu siku za ujauzito... Yaani mfano nimesex nae leo akiwa katika siku zake za hatari.. Je kama baada ya wiki mbili akija kuniambia ana mimba hiyo mimba itakua ni ya wiki mbili...
Sometime kuchokoza mada zinazohusu maisha yetu ya kila siku ni jambo zuri,maana tunapata nafasi ya kujifunza kwenye mjadala husika.Hoja yangu chokonozi leo itaonyesha changamoto anazokabiliana...
Hakuna haja ya wadada kuwa na matumbo makubwa hadi kuwakwaza wenzi wao kitandani wakati wanaweza kushiriki mazoezi mepesi kama haya ili kuweka miili yao sawa na kujiongezea ufanisi kitandani...
Ni miaka kama 8 hivi imepita kipindi hicho nikiwa sijaoa. Nilikuwa na msichana mpenzi wangu tulipendana sana na kuzoeana hadi tukiwa pamoja hakuna tunachofichana wala hatukuwa tunaoneana aibu tena...
Kwa wale walimu wapya huko mashuleni mnako enda kuna mitihani kweli kweli,utakutana na vibinti vya kila aina tena vibichi vitamu kweli kweli,unakuta mtoto kapiga kisketi kifupi na kishati flani...
Miimi nasema furaha furaha ya mapenzi na urafiki ipo katika heshima ukweli uaminifu na kuthaminiana. Jingine lipi? Haya ongezeni sasa pesa, sex, elimu.
Nimefanya kautafiti kadogo nimegundua kua wanawake wenye makalio makubwa wanaringa sana hata kama ni mbaya usoni lakini nyuma amejaliwa anakua anajisikia sana tofauti na wembamba je hii inatokana...
Kuna dada mmoja nilikuwa nadate naye akapata mimba katika mazingira tatanishi,kwa maana ya kwamba wakati anabeba ujauzito mimi nilikuwa naugua magonjwa ya zinaa. Baada ya kumbana akakiri kuwa...
Habari zenu wanna MMU,
Jana mchana nilikwenda shopping kununua vitu vidogo, wakati niko kwenye car park nikaona mfuko nakini ulikua wazi na ndani kuna simu, wallet cheque ambayo imesha sainiwa na...
Kuna maswala mengine kwenye mapenzi wanawake hutoa povu ila ukitafakari kwa undani unagundua mungu alishasema ni viumbe dhaifu so unawasamehe lakini ukweli unawapa
"Mfano" Mwanaume kucheat ni...
Wakuu habari za leo?
Nimekuwa nikisikiliza mazungumzo ya watu wengi na hasa wanawake wakiongelea kitu kiitwacho "reception" ama sura.Wamekuwa wakizitunza kwa gharama kubwa sana sura zao na...
Tumuite jina A alizaa na jamaa kabla ya hapo alichumbiwa wakatambulishana kwa wazazi pande zote 2 mahali nusu ukatoka ndoa ilikua iwe last year may. A kapata ujauzito kabla ndoa mzazi wa mwanaume...
MADA YA LEO
Yupi sahihi anaye stahili kuwa mwenza wako mke mume;
1. Ni yule mwenye uwezo mkubwa kimaisha.
2. Maskini atakae kueshim.
3. Mtu mwenye uwezo wa wastan kimaisha.
4. Mwenye mapenzi...
-Huko California ni kosa kisheria mwanamke kua juu (Woman on top) ya mwanaume wakati wa kufanya ngono,ukigundulika unaweza kuishia jela au kulipa faini isiyopungua dola 3000.
-Huko hangary ni...
Habari zenu wana Love Connect,
Mimi kijana mwenzenu najitokeza hapa kutafuta mwanamke ili awe mchumba wangu Na badae tuje tuwe in familia, Mimi nimeajiriwa Serikalini na nipo Kanda ya Ziwa...
Uko ugenini umefikia kwenye kalodge umetulia nje na una kunywa zako maji ukipunga punga upepo na hili joto la bongo, mara kizee kabisa kinapita na mtoto mrembo.
Mambo yote yanaharibika kabisa ...