Ok9
JF-Expert Member
- Oct 5, 2013
- 4,554
- 4,171
MADA YA LEO
Yupi sahihi anaye stahili kuwa mwenza wako mke mume;
1. Ni yule mwenye uwezo mkubwa kimaisha.
2. Maskini atakae kueshim.
3. Mtu mwenye uwezo wa wastan kimaisha.
4. Mwenye mapenzi yakweli au chenchi ndio mashiko.
5. Mpole na msikivu alie zidisha ukimya.