Kibo10
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,278
- 8,868
Sometime kuchokoza mada zinazohusu maisha yetu ya kila siku ni jambo zuri,maana tunapata nafasi ya kujifunza kwenye mjadala husika.Hoja yangu chokonozi leo itaonyesha changamoto anazokabiliana nazo mwanamke anapofanikiwa kielimu na kimaisha.
Kwamba kadri mwanamke anavyokwea ngazi ya mafanikio ya kielimu au kimaisha ndivyo wanaume wanavyozidi kumkimbia.
Je tatizo ni wanaume au wanawake?
Karibuni
Kwamba kadri mwanamke anavyokwea ngazi ya mafanikio ya kielimu au kimaisha ndivyo wanaume wanavyozidi kumkimbia.
Je tatizo ni wanaume au wanawake?
Karibuni