Wazee kwanini mnatembea na wasichana wadogo?

Wazee kwanini mnatembea na wasichana wadogo?

Majaribu2013

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2013
Posts
950
Reaction score
1,050
Uko ugenini umefikia kwenye kalodge umetulia nje na una kunywa zako maji ukipunga punga upepo na hili joto la bongo, mara kizee kabisa kinapita na mtoto mrembo.

Mambo yote yanaharibika kabisa , warembo hawa wazee wananini? Hivi wazee inakuwaje unakuwa na mahusiano na wasichana wadogo, tena ni kama watoto wako.

Wakuu karibuni tujadili

We tutafute hela kijana mwenzangu........achana na huyo mzee.......alitafuta zake ujanani..........mbona ukiwa nazo utang'oa tu.........unakunywa maji ya jero halafu unalalamika kuhusu mrembo........?.......acha hizo bana.........
 
Kunywa maji ya jero hakumaanishi sina njugu mamaee. Zipo tu tena za kutosha
 
We tutafute hela kijana mwenzangu........achana na huyo mzee.......alitafuta zake ujanani..........mbona ukiwa nazo utang'oa tu.........unakunywa maji ya jero halafu unalalamika kuhusu mrembo........?.......acha hizo bana.........

Mi ninazo tayari sasa inakuwaje nichek pm tuzitumie
 
maji ya jero!!!! zinakutosha kweli??? huyo mrembo unadhani anaenda kupewa maji ya jero?
 
Unafanya kazi kwenye mizani za kupima uzito wa magari?Unaangalia abiria wanaopita na mizigo yao hata kwenye magesti?Kweli una muda wa kupoteza.Achana na maisha ya watu. Binti hajiulizi unajiuliza wewe . Mambo wafanye wengine kiuno ukate wewe.
 
Back
Top Bottom