Mapenzi na mme/mke wa mtu ni shida

Mapenzi na mme/mke wa mtu ni shida

6alfabet

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2013
Posts
389
Reaction score
69
kweli ukiwa na mausiano na mke/mme wamtu alafu awembali nawe maumivu yake simchezo jaman maana ikimwitaji umpati nisheda
 
----! Unawezaje kuwa na uhusiano wa kiza na ukawa na tamaa ya kumpata unaemuiba kirahisi kama umehalalishiwa?
Bangi za usiku hizo🙄
 
kweli ukiwa na mausiano na mke/mme wamtu alafu awembali nawe maumivu yake simchezo jaman maana ikimwitaji umpati nisheda
Jifunze kwanza kuandika ndo uanze kuhangaika na wake za watu.
 
Siku utakapokojoa dagaa ndio akili itakukaa sawa
 
kweli ukiwa na mausiano na mke/mme wamtu alafu awembali nawe maumivu yake simchezo jaman maana ikimwitaji umpati nisheda
Hatari


Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Nyie madereva bodaboda mko troublesome sana..
 
Leo wanaochipukia kwenye ulimwengu wa mahusiano wameng'ara.
 
Back
Top Bottom