Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Huyu msichana nilikutana nae kwenye gari wakati naenda chuo,nimeingia kwenye gari tu hata sijakaa nikamuona mtoto mkaree black beauty fulani hivi amazing, nikatupia jicho mtoto nae akaniangalia...
0 Reactions
88 Replies
10K Views
Nia ni nzuri hata lengo pia lakini ndio sherehe za kitchen party zilivyo leo? Hapana!!! Tunachoshuhudia ni uvunjaji wa maadili kwa kiwango kisichomithilika, hashua na ujinga mwingine mwingi tu...
5 Reactions
67 Replies
22K Views
Hi all, Napenda sana kuchat kwa email kwa atakae penda tubadilishane mawazo na kupeana michongo pia boybway@gmail.com My number ni 0689 784 834 every time penda wote.
0 Reactions
22 Replies
3K Views
(b)Ngono za Matamanio na Genye. Kuna aina Tisa vilevile za ngono kutokana na genye na tamaa ya kungonoka kama ifuatavyo: NGONO ZILIZO SAWA(EQUAL) WANAUME...
0 Reactions
11 Replies
15K Views
Hivi hii ndiyo fashion ya maisha mjini? Ninabiashara ya corset kutoka Uingereza, kwa soko la biashara kuna aliyefinya nifanye urafiki na manese wa hospitali za private, kuwauzia wateja wao...
1 Reactions
40 Replies
6K Views
Hodi wanaforum, nami leo natafuta mwanamke mrembo, muelewa, mwenye mtoto mmoja tu au asiye na mtoto ila ana uwezo wa kupata mtoto. Sifa nyingine ni upole, tabia njema, mpenda maendeleo. Mwenye...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari, Mimi ni mwanaume natafuta mwanamke wa kunizalia mtoto, mimi ni mwajiriwa serikalini na nina nyumba pia ninakajiusafiri kakutembelea, mwanamke ninae mwitaji awe mweupe,mrefu kiasi. Kama...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30 niliondoka tanzania nikiwa bado sijafikisha miaka ishirini so sijawa sana na uhusiano na wasichana wa nyumbani kwa muda wa zaidi ya miaka kumi na mbili...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Wakuu habari, Ninaishi mbali (mikoa tofauti) na mpenzi wangu ki ukweli mimi sio mwaminifu kwake hata kidogo nachepuka saaana huku nilipo nimejitahidi kufanya mazoezi ili niachane na kuchepuka ila...
1 Reactions
44 Replies
5K Views
Nimeibiwa laptop aina ya hp hapa bukoba mjini byekera maeneo ya kasarani. Ina window 8.1 pro kwa aliyeiona au kuichukua nitext 0715 276 275 au 0765 276 275. Hasante kwa upendo na kujali
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Unavyojua kinachotuvutia kwanza huwa ni sura au figure. Yanayofuata hapo kila mtu ana yake. Kwangu kifuatacho ni ubora kichwani. Hata tukijibizana hapa JF huwa tayari nimeshafahamu huyu ni kiwango...
2 Reactions
47 Replies
6K Views
Habari. Ukweli nilisikitika sana nilipopata majibu kuwa nimuathirika wa HIV niliamini sina jipya tena, but with hope waliniambia HIV haizuii kufikia ndoto zangu na hata kuweza kuoa na kusonga...
3 Reactions
39 Replies
6K Views
Wadau poleni na majukumu. Mimi ni mwanaume umri miaka 31 naishi dar nimeathirika na vvu. Hivyo natafuta mke mwenye vvu ili tuishi kwa matumaini. Nimetafakari muda wa kuoa umefika.Nina afya njema...
0 Reactions
20 Replies
8K Views
Hivi kuna umri sahihi ambao unamfanya msichana au mvulana kuolewa au kuoa? Katika umri gani ambao unaanza kufikiria kuoa au kuolewa? Na umri gani ambao utakufanya kuanza kupanick kama utakuwa...
1 Reactions
36 Replies
20K Views
Habari ya Weekend waungwana, Mtoto wa mamangu mkubwa amerudi nyumbani asubui na vilio tele nikajua amefiwa na mume, manake walikuja wote nyumbani baada ya mume kusafiri aliporudi tulimualika...
1 Reactions
39 Replies
4K Views
Naingia moja kwa zote kwenye mada. Nina wasichana wawili mmoja ana kipato namaanisha kazi, msichana wa pili yuko kijijini mkulima, niko kwenye wakati mgumu nahutaji kuoa kati yao. Na mimi sina...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Natafuta mchumba wa kuanzia miaka 27,awe mkristu,anajitambua.
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari za hapa. Wadada naomba mnijibu. Kwanza kabisa ningependa kueka wazi kwamba hapa naongelea wadada wanaojiheshimu na kuitaka ndoa. siongelei GOLD DIGGERS. Nikubali tu kuwa wadada hao...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Nauli, kula na posho ni juu yangu awe wa hapa Dar es salaam. Ambae yuko tayari ani PM namba zake nimuelezee ilivyo na aje nimuelekeze alipo.
1 Reactions
6 Replies
2K Views
thank youuuu
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…