Nitumie njia gani niachane na uzinzi?

Nitumie njia gani niachane na uzinzi?

ndugu yako

Senior Member
Joined
Mar 30, 2013
Posts
193
Reaction score
97
Wakuu habari,

Ninaishi mbali (mikoa tofauti) na mpenzi wangu ki ukweli mimi sio mwaminifu kwake hata kidogo nachepuka saaana huku nilipo nimejitahidi kufanya mazoezi ili niachane na kuchepuka ila imeshindikana.

Mwakani mwezi kama huu natarajia kuoa... na sitaki kuanza process za ndoa nikiwa kwenye hii hali ya kuchepuka chepuka. Naombeni ushauri nifanyeje ili niachane na uzinzi maana siwezi kukaa wiki bila kufanya mapenzi.

Nipo serious wakuu msaada wenu tafadhari
 
haijashindikana sema unajiendekeza haukuzaliwa ukiwa unachepuka ila hiyo ni tabia uliyojiwekea mwenyewe
USHAURI:-
1.acha kuangalia picha za Ngono yaani XXX,
2.Kazana na Mazoezi MAGUMU na ya afya asubuhi na Jioni,
3.Soma vitabu vya kuelimisha, kuburudisha,
4.kuwa bize na kazi yako, acha kufikiria kungonoka kila saa
5. Lamuhimu kaungame na utubu alafu kazana na hayo juu.
 
Asante kaka... itakuwa najiendekeza kweli aisee!!
 
ushauri wangu ni kwamba... kwanza inaonyesha wazi una sex addiction. addiction mara nyingi ni state of mind kama vile kunogewa na pombe.

hili suala la kupenda ngono au michepuko linatakiwa liwe la hiari sana kutoka moyoni.

1. jua kwamba ukimwi upo. mara nyingi tunajidanganya tunavaa condoms ila hizo condoms sio 100% kwani zingine hupasuka au somesometimes huwa zinavuka bila kujua.

2. Mkumbuke MUngu pia. jua uzinzi ni dhambi mbele za Mungu.
3. mpende demu wako, fanya kama dunia inazunguka kwake tu.

ni hayo tu kaka.
ndugu yako
 
Last edited by a moderator:
ndugu yako

NuNuA sAbUni nenda kWenYe duKa la JuMla chuKua sAbuni cartOn mbIli. kiSha chUkuA kaDi Ya uaNachaMa wa ChApuTa
 
Last edited by a moderator:
ushauri wangu ni kwamba... kwanza inaonyesha wazi una sex addiction. addiction mara nyingi ni state of mind kama vile kunogewa na pombe.

hili suala la kupenda ngono au michepuko linatakiwa liwe la hiari sana kutoka moyoni.

1. jua kwamba ukimwi upo. mara nyingi tunajidanganya tunavaa condoms ila hizo condoms sio 100% kwani zingine hupasuka au somesometimes huwa zinavuka bila kujua.

2. Mkumbuke MUngu pia. jua uzinzi ni dhambi mbele za Mungu.
3. mpende demu wako, fanya kama dunia inazunguka kwake tu.

ni hayo tu kaka.

ni kweli kabisaa najihisi nipo addicted na ngono.... sasa nini dawa ya huu ugonjwa wangu?!
 
ndugu yako

Biblia hiko wazi, isome na kuishi hayo maandiko. Mfano, jicho lako likikukkosea ling'oe, ni heri kurithi ufalme wa mbingu ukiwa na chongo. Hivyo ondoa kiungo kinachokuletea hiyo shida ingawaje kuoa itakuwa basi tena.
 
Last edited by a moderator:
Tatizo kama iko damuni au akilini usidhani kama kuna siku hata baada ya ndoa ukaacha! Jaribu kutafuta kazi inayokuweka busy
 
Tatizo kama iko damuni au akilini usidhani kama kuna siku hata baada ya ndoa ukaacha! Jaribu kutafuta kazi inayokuweka busy

asante ndugu yangu... tatizo cjui nitafute kazi gani maana nikitokaga kazini mida ya saa kumi najikutaga sina cha kufanya zaidi ya kuchat tu!!
 
Back
Top Bottom