Asabaya
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 1,310
- 419
Habari ya Weekend waungwana,
Mtoto wa mamangu mkubwa amerudi nyumbani asubui na vilio tele nikajua amefiwa na mume,
manake walikuja wote nyumbani baada ya mume kusafiri aliporudi tulimualika nyumbani na kwakua
waliowana mtoto wa shangazi na mjomba kwahiyo sote mle mle ndani ya famlia,
basi imefika jioni wakaenda zao nyumbani kwako,sasa kuja na kilio saa 11 asubuhi nikasema labda mume
amekufa nikapiga simu ya mumewe mara kapokea,nikamuliza vipi mbona huyu analia na hanyamaziki salama?
mume kasema angelilia tumboni ndio ningeona ajabu lakini analilia duniani atanyamaza akishamaliza
nikamrai yule bwana anambia kisa ndio akanambia mke wangu amenidanganya anaumwa sijui uvimbe
tumboni na sipo fanyiwa operation atakufa nimetoa hela amekwenda kutengeneza Makalio,ametaka hela
mara ya pili akasema operation haikua vizuri kaenda India kutengeneza maziwa na miguu,sasa mimi basi
nilimuoa kama alivyo sikutaka mwanamke fake asie jiamini..
hapa nimejichokea nafsi yangu wala simmalizi,cha ajabu hata sie alituficha lakini ki shape nilikua kinaonekana
nikajua mazowezi kumbe mambo ya India,nilijua mambo hayo USA tuu kumbe Mpaka India,sasa mdada ameambiwa atafute anaependa fake stuff,na nasikia alikua alishikwa nyonyo ana rukaaa hapo ndipo alipo yabananga mambo,
wasichana wengine jamanai somo hilo msije kufanya mpaka mumeo akubali...