michael western
JF-Expert Member
- May 7, 2014
- 544
- 259
Wenye hela wengi wanaangukia kwa malaya maana malaya ndio wanaotafuta wenye pesa.Si unajua mwanamke anavyotega baadaye unajikuta umeoa malaya bila kujua.
Huu ni utafiti au mawazo yako tu yameamua??
Mawazo yangu na yapo sahihi
Maana Malaya ndo wanaotafuta wenye pesa.
Si unajua mwanamke anavyotega baadaye unajikuta umeoa malaya bila kujua.
Huu ni utafiti au mawazo yako tu yameamua??
Hela nyingi inaanzia shilingi ngapi?
pole kwa kupata malaya
ila hela huna
Ila kuna ukweli katika hiliWenye hela wengi wanaangukia kwa malaya maana malaya ndio wanaotafuta wenye pesa.Si unajua mwanamke anavyotega baadaye unajikuta umeoa malaya bila kujua.
ushapoa na kutoswa bibie???