Hivi mada zingine zinachekesha Vijana wacku hizi wacheni Upuuzi,,,,wakujiliza eti,,ctaoa km unamatatizo yakiAfya saw a lkn km uko kamili then unasema huwezi kuoa daaah,,,,hueanda umepewa uume kimakosa Km ww ni mtu wa hizi jitahidi kujua Asili ya mwanaume ndo utaelewa kwanini unaitwa Mwanaume
Hapana mkuu sijamaanisha hivyo ila ni kwamba naona washkaji zangu wengi sana siku hizi wana maisha mazuri tu ila wanaogopa kuoa.