Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Jamani leo saa kumi jioni kuna rafiki yangu anaenda kumfumania mkewe. Amepewa information zote kuhusu mke wake na guest ambayo huwa anapenda kuitumia wanapokutanaga na huyo mtu wake. Sasa hapa...
2 Reactions
76 Replies
11K Views
Namuonea huruma mtoto huyu, mke wa rafiki yangu kabeba mimba wakati anamtoto mchanga mwenye miez 4, ushauri afanye nini ili kumnusuru kichanga huyo.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu, Kuna binti nilimpenda sana na kutangaza nia ya kumuoa alikataa na kusema bado ana mambo mengi. Niliamua kutafuta binti mwingine nikaoa. Hivi karibu yule binti aliyenikataa amenipigia simu...
1 Reactions
41 Replies
6K Views
Hi, Wapendwa nipo Arusha natafuta rafiki wa kike best friend awe na umri wa miaka 23 adi 25 awe pia Arusha. Ni pm no nitakutafuta
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Duh! Kweli kufumania kazi na ukifumaniwa ndio kabisa! Kwa maelezo tuliyopewa tulifika eneo la tukio mapema kabla ya muda hivyo tulikaa sehemu ambayo ni ngumu mtu anayekuja kutuona.Tukapigiwa simu...
5 Reactions
76 Replies
11K Views
1. Kama mpenzi wangu kila ijumaa anakuja kwangu na anasipendi nae mpaka jumapili usiku, nioe ili iweje? 2. Kama kila nguo zangu zikichafuka au nyumba ikihitaji usafi sikosi mwanamke wa kunisaidie...
3 Reactions
92 Replies
9K Views
Utafiti tuliofanya unaonyesha haya yafuatayo; 1. Wasichana wafupi wanaongoza kwa wivu wa mapenzi na kuwajali wapenzi wao. 2. Wasichana warefu huwa hawajali wapenzi wao na hawaogopi mahusiano...
0 Reactions
54 Replies
7K Views
Wakuu habari , Kuna msichana nimeanzisha naye uhusiano kama yapata miezi minne imepita.Nimejaribu kumsoma lakini bado simuelewi. Mara ya kwanza aliniambia anakaa kwa wazazi tukaendelea na life...
0 Reactions
45 Replies
9K Views
Sikupenda nije nitoe siri zake hapa ndani lakini sina jinsi nimechoka. Nina mpenzi wangu tuna mwaka mmoja nae tatizo ni kuwa tukifanya mapenzi hataki kuvua nguo zote na wala hataki niuone uchi...
1 Reactions
78 Replies
13K Views
Mimi ni kijana nipo chuo, ni mwaka wa saba sasa toka baba mzazi afariki. Yeye ndiye aliyekuwa kama kiongozi wa familia maana alikuwa mfanyakazi serikalini mama yeye ni mama wa nyumbani tu. Tokea...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Habari wana Jamii Forum, Mi ni binti niko kwenye mahusiano na kijana mmoja ambaye anafanya kazi mwaka wa nne huu kwenye ofisi fulani, Elimu yake ni degree, kinachoniweka njia panda ni kwamba kwa...
0 Reactions
67 Replies
5K Views
Jamani hii ni hatari, ebu fuatilieni mjifunze, mke na mume wanaishi pamoja na wanapendana tu, sasa huyu mke ana rafiki yake wa karibu sana, ambaye hajaolewa na anamwonea wivu sana mwenzake. Kwani...
0 Reactions
36 Replies
5K Views
Amani ya bwana itawale jamvini, Aisee kumbe ule ujanja wa kupiga goli 7/10 kumbe ni ujinga na kujiumiza tu na ndomana kelele za ukosefu wa nguvu za kiume haziwezi kuisha kwa wanaume zile habari...
1 Reactions
73 Replies
29K Views
Hey, Wanachama wenzangu nina girlfriend wangu nampenda sana kias kwamba nimeshalidhia kuwa nae maisha yangu yote na yeye ananiambia hivyo ila mimi siamini kama kweli ananipenda, so naweza kumweka...
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Habari wana jamvi? Mi nawapa usia tu kwamba ukiona umpendae amekaa siku nzima hakuna sms wala kukubip basi ndo mafuta ya gari yanaishia hapo. Nawasilisha labda kama una mawazo mengine. karibu
1 Reactions
14 Replies
2K Views
A certain man found his wife with another man in his bedroom.Instead of shouting or beating both of them, he just looked at them and went back to the sitting room. He switched on the Television...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari kwenu, Mara apitapo mwanamke aliyejazia vizuri hasa nyuma (makalio) basi kama kuna vijana basi watageuka kumuangalia kwa uchu.Vitabu vyote vya story ya kimapenzi lazima vitakuwa na picha...
5 Reactions
29 Replies
8K Views
Amani ya bwana itawale jamvini, Hii tabia yetu ya baazi sisi wanaume kuwaletea makuzi mademu zetu na wake zetu itatutokea tu puani ipo siku.Mambo ya kumrudia mkeo usiku, dharua, vipigo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakati tunaanza mahusiano alikuwa mpole asiyejua mambo mengi kila mara tukiwa faragha sipati madini ikanibidi nitafute mgodi mwingine niwe nachimba madini cha kushangaza baada ya kumwacha kama...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mambo vipi, Kuna jambo linanitatiza nikaona sio vibaya tuka share pamoja jioni hii maana kwenye wengi kuna mengi,nipo na mpenzi wangu nampenda sana juzi nimeenda kumsaliamia kibandani kwake...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom