Kina kaka jamani mbona mnasikitisha kiasi hiki?

Kina kaka jamani mbona mnasikitisha kiasi hiki?

C.Thady

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2015
Posts
589
Reaction score
155
Asubuhi hii nimeamka na masikitiko makubwa sana.

Jana nilikuwa sehemu fulani ghafla nikamuona mkaka mwili wa mazoezi sura sio ngumu kivile kiufipi yupo vizuri. Dooh nilishangaa baada ya kuuliza na kuambiwa ni Bwabwa/wali mchicha/chakula ya watu imeniuma sana na hadi sasa ninapoandika bado inaniuma.

Eee..M/Mungi nusuru kizazi changu kijacho
.
 
Pengine huyo alokuambia yeye ndo bwabwa na kila jambo unaloambiwa usilichukue moja kwa moja kabla ya kulifanyia uchunguzi."akili za kuambiwa changanya na za kwako" J.kikwete
 
Pengine huyo alokuambia yeye ndo bwabwa na kila jambo unaloambiwa usilichukue moja kwa moja kabla ya kulifanyia uchunguzi."akili za kuambiwa changanya na za kwako" J.kikwete

Shost yangu ndio kaniambia
 
ungejichekelesha mbele yake uone kama kweli, ila uje na uthibitisho kabisa
 
Bwabwa knows another bwabwa..huyo aliekuambia chunguza,utakuta na yy bwabwa.
 
Ujue vitu kama hivi ungejaribu mwenyewe kupata uthibitisho kwa kujaribu kumpelekea chakula chako ukacheck kama atakuwa na uwezo wa kula au vipi!!?
 
Huwezi jua, ili uthibitishe hebu muombe uone....
 
Kama mwanamke ndo aliyekuambia... Duh!That guy ni hasara.Fanya ka analysis kako pia,utashangaa ukija sikia jamaa anatoka na huyo huyo shosti aliyekuambia ni bwabwa..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom