Yaani bila kupekua sipati usingizi

Yaani bila kupekua sipati usingizi

Craig

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2013
Posts
1,676
Reaction score
3,143
Habari zenu wana JF,

Leo nimeamua kuleta thread kwa haka katabia kangu kanakotaka kunizoea. Mimi nina mchumba ambaye anakaa kwao lakini mara moja moja walau kwa mwezi mara sita lazima ajiibe aje kuchezeshwa gwaride la usiku kitandani.

Sasa bahati nzuri huyu binti simu nilimnunulia mimi lengo langu kubwa ilikuwa niiweke password ambazo ndo yeye anazitumia mpaka sasa.Kwa hiyo hata akiizima ile simu yake mimi nazijua password za kuiwasha.

tatizo langu huwa sijiamini paleni binti anapokuja kulala nyumbani kwangu. yaa nitamvizia alale ntajikausha kama nimelala ili single maboya. Lakini lengo langu ni kuipekua simu yake yaanza lazima niipekue ndio nitalala kwa amani ingawa huwa sikuti sms mbaya.

Wakuu nisaidieni hii tabia ni kawaida ai ndio naendekeza donda ndugu?
 
Unajitafutia matatizo jitahidi uiache hyo tabia
Coz kumbua ww co wa kwanza kumjua
 
Unataft kufa na kujizika mwenyewe ikitokea mtu amelong number ikaingia msg ya mapenz kwa girl wako itakuwaje? Utamuelewa vp? Acha tabia hzo.
 
Craig

Unaweza ukute bf wangu!
Since nimemjua sijawai hatagusa simu yake though sijawai itaka na sitaki!!!
Yeye sasa uuuuuwiiiiiiii!
Hadi huwa namuonea huruma!
 
Last edited by a moderator:
Sasa kama anazifuta utazionaje ??
ukiziona utaweza kuvumilia au umemchoka unamtafutia sababu ??
 
Huyo ni mchepuko tu haya ingekuwa ndio ndoa! Mbona yeye akitoroka kwao akija kwako haanzi kuchunguza kama kuna chupi au kanga au viatu vya kike na vipodozi vimeachwa na mtu? Jifunze kujiaminj. Kuibiwa kupo tu. Kwahio unaamini kwakua hujakuta kitu kwenye simu basi ni Mwaminifu au hana mchumba! Conclusion ya kibwege kweli
 
Kila kitu hufanywa kwa lengo. Wewe ndo unajua lengo lako la kuchungulia simu ya mpenzi wako.
 
Huyo ni mchepuko tu haya ingekuwa ndio ndoa! Mbona yeye akitoroka kwao akija kwako haanzi kuchunguza kama kuna chupi au kanga au viatu vya kike na vipodozi vimeachwa na mtu? Jifunze kujiaminj. Kuibiwa kupo tu. Kwahio unaamini kwakua hujakuta kitu kwenye simu basi ni Mwaminifu au hana mchumba! Conclusion ya kibwege kweli

Au ndio huyu hapa chini?
 

Attachments

  • 1432355860589.jpg
    1432355860589.jpg
    28.2 KB · Views: 679
we bado mshamba wa mapenz unaonekana mwanamke achungwi minikajua unakgua k kumbe sm ovyoooo! kweli we jamaa
 
Naona raha zako unatamani ukute sms ili umtie joto akupe visa vyake akiwa na mwanamme mwengine.

Mwambie tu awe anakuhadithia anavyoiwachia nje, atakuelewa.

Wewe ulimpataje wenzako washindwe?

Wacheni uzinzi ni njia chafu. Oaneni.
 
Hujamuoa upo hivyo ukimuoa si utamfunga nyororo kabisa
 
Craig

Mchumba tu unamgonga mara sita kwa mwezi? Sasa ukimuoa je?
 
Last edited by a moderator:
Nimekuja mbio nilifikiri kupekua MASHAVU ! kumbe sms , wanazifutaga hao utakuta SMS za shangazi , Dada na zako tu
 
Naona raha zako unatamani ukute sms ili umtie joto akupe visa vyake akiwa na mwanamme mwengine.

Mwambie tu awe anakuhadithia anavyoiwachia nje, atakuelewa.

Wewe ulimpataje wenzako washindwe?

Wacheni uzinzi ni njia chafu. Oaneni.

Swadaktaaaaa....ndio maana nakupenda sana bibi wewe

Full hekima...

Ila tatizo moja tu.....Ukijani
 
Kwanza jiulize, ni kitu gani kinachokufanya usijiamini au kumwamini? Kisha kifanyie kazi hicho, hapo ndipo utakapoacha
 
Back
Top Bottom