Hii njia nimetumia kujua mahusiano ya nje ya wapenzi wangu kadhaa, nikawa nachukulia poa na nikajua wanawake wengi hawajatulia, yaan full kenjoy kama movie vile. Mi na washkaji tukawa tu-naenjoy...
Huwa najiuliza maswali mengi sana ambayo labda leo naweza kupata majibu yake hapa..
Nimekuwa nikiwasikia watu maarufu kama wasanii au watu waliofanikiwa kimaisha au kama ni msanii amefanikiwa na...
Hodi humu ndani,
Wadau kwa heshima nawasalimu woote, mimi nina umri wa miaka 29,kwa makabila mama ni Mpare wa Same na baba ni Mnyamwezi wa Sikonge Tabora.
nimezaliwa tabora na kukulia huko.Ila...
Wanawake wengi wanaweza kuwa na msimamo wa kumkataa mtu ama msimamo wa kutunza penzi la mpezi wake ama msimamo wa kutunza ndoa yake na kutofanya udanganyifu wowote.
Lakini wengi wanapopata...
Machame yetu zamani.
Zamani machame ikiwa binti anapata mimba kabla ya kuolewa, yeye na aliyempa mimba wanakamatwa wanapelekwa njia nne.
Mwanamke analala na mwanamme analala kama walivyopeana...
Mimi ni kijana (28) sijaoa ninajishughulisha na kazi za kawaida zinazoniingizia kipato. Awali nilikuwa naishi Arusha,nilikuwa na binti tuliyeanzisha naye mahusiano kwa zaidi ya miaka minne na...
Kila kukicha najiuliza wazee wetu walioa kwa sababu gani? Na kwanini ndoa zao zilidumu?? Tofauti na leo ndoa za leo Wadada wa wanaingia katika ndoa hawajui wafanye nini, wao hudhani ni kukaa na...
Mahakama nchini Kenya imeamuru hospitali maarufu kulipa faini ya dola zaidi ya elfu 48 kwa kushindwa kuzuia uzazi . Jaji alibaini kuwa mmoja wa wahudumu wa hospitali ya Aghakhan alizembea katika...
Nalieleza hili kwa ushairi, nashindwa kulala ndani, kushinda pia ni kazi, anijeruhi moyoni, nimuonapo siwezi, namtamani yakini, awe kwangu mpaka mbali, anachonishinda huyu, ni dada wangu wa kazi...
NIKIWA NIMETULIA LEO TAREHE 02/01/2014 wazo la matumizi ya majina linanijia wakati nafikiria niweke topiki ipi ya kwanza ndani ya mwaka huu.
ni mada nyingi zinakuja kichwani lakini nimeona ni...
Habari wanajamvi,
Kama tupo wengi ebu tujitokeze kwa hii mada,hivi unajisikiaje umepanga ahadi na msichana halafu siku ya kugegedana linakuja limevaa jeans tyt ndani kapiga litaiti lenye vimfuko...
Wanajamvi nawasalimu kila mmoja kwa imani yake,
Naomba tuzungumzie habari ya matumizi ya pesa kwa wanaume. Je, ni katika hali gani au mambo yapi ambapo wanaume hutumia pesa nyingi zaidi?
Asante
Kuna binti tuko kwenye mahusiano ya karibu miezi 6,sasa hivi karibuni aliniambia haoni period yake,nikamwambia asubiri kama mwezi unaokuja yaani huu tarehe za mwisho kama hataona tena tukapime...
I must have sex with ma wife every day unless she is sick or mp, i have tried to investigate ma friends but most of them refused to do it everyday so is normal or something is wrong.
Stop jokes...
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Mfanye kufollow ile account ya @ KIJIWECHAWADADAWAOFISINI mambo manono, mazitooo...
Mwanamke ukipishana nae maneno kidogo tu we unadhan mambo yashaisha unarud job jioni mtu kafuta mdomo unajiuliza ni nini tena hapa na wanaume wengi tushawajua wake zetu siku hayuko vizur na siku...
Hili limetokea huko kwa Simba wa Nyika Robert Mugabe nchini Zimbabwe....
Mke alikuwa akimuaga mume kuwa kapata kazi kama "Waitress" hivyo analazimika kwenda kazini usiku,baadae mume...
Hellow,
Natafuta marafiki wa kike wa kuchati nao.
Wenye umri wa miaka 17-21.
Mimi ni wa kiume(ME)
Aliyetayari ani PM namba yake kwa mawasiliano zaidi.
Asanteni.
Je, unajua ni kwanini ndoa hazidumu?
Ndoa hazidumu kwa sababu kabla ya kufunga ndoa watu wanakuwa Obssesed na Wedding Ceremony Imaginations, bila kujua Ndoa inaenda mbali zaidi! Kuna ndoa na...