Kusikiliza maongezi ya simu ya mpenzi wako

Jack Daniel's

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2015
Posts
1,008
Reaction score
840
Hii njia nimetumia kujua mahusiano ya nje ya wapenzi wangu kadhaa, nikawa nachukulia poa na nikajua wanawake wengi hawajatulia, yaan full kenjoy kama movie vile. Mi na washkaji tukawa tu-naenjoy huu mchezo ingawa inasikitisha. Ukipata chance ya kumsikiliza mpenzi wako anavyoongea na marafiki zake au watu wengine kuhusu mapenzi au mambo mengine utamjua vizuri mtu wako na utafanya maamuzi mapema.

Vinavyohitajika:
1.Simu janja (Smart Phone) ya mpenzi wako.
2.Application za kurekodi mazungumzo kwenye simu zenye uwezo wa kuunganishwa na ‘Cloud' Services (Dropbox, Google Drive, One Drive etc) kama vile Call Recorder ACR (Pro) by NLL, Call Recorder(Pro) by Svalex etc.

Process:
1.Install Call Recorder kwenye simu na uunganganishe (sync automatically) na Account yako ya ‘Cloud'. Cheza na Settings unavyotaka mwenyewe.
2.Ficha call Recorder ili isionekane kwa kutumia Applications kama Smart Lock, App Lock etc.
3.Ficha application ya Smart Lock, App Lock etc kwa kutumia settings za kwenye hizo Application.

Kila mda mpenzi wako akiongea kwenye simu, maongezi yatatumwa kwenda kwenye ‘cloud' bila yeye kujua na wewe kwa mda wako utasikiliza maongezi hayo.

NB: Unaweza kutumia Application kama ‘Mighty Text' kusoma Message zake kwenye PC, hii itakusaidia kuona Message zote zikiwemo za kutumiwa hela au kutoa hela. WhatsApp pia unaweza ku-back up kwenye ‘cloud'.
 
Wawekee na wao ili wakufuatilie.. Na watambue kuwa wako wawili plus...
 
ili iweje kama umemchoka ni vyema kubwagana kuliko kujitakia presha huku uwezo wa kumuacha hauna

yaani unatishia kujamba wakati unaharisha
 
Hii njia nimetumia kujua mahusiano ya nje ya wapenzi wangu kadhaa, nikawa nachukulia poa na nikajua wanawake wengi hawajatulia, yaan full kenjoy kama movie vile. Mi na washkaji tukawa tu-naenjoy huu mchezo ingawa inasikitisha. Ukipata chance ya kumsikiliza mpenzi wako anavyoongea na marafiki zake au watu wengine kuhusu mapenzi au mambo mengine utamjua vizuri mtu wako na utafanya maamuzi mapema.

Vinavyohitajika:
1.Simu janja (Smart Phone) ya mpenzi wako.
2.Application za kurekodi mazungumzo kwenye simu zenye uwezo wa kuunganishwa na ‘Cloud’ Services (Dropbox, Google Drive, One Drive etc) kama vile Call Recorder ACR (Pro) by NLL, Call Recorder(Pro) by Svalex etc.

Process:
1.Install Call Recorder kwenye simu na uunganganishe (sync automatically) na Account yako ya ‘Cloud’. Cheza na Settings unavyotaka mwenyewe.
2.Ficha call Recorder ili isionekane kwa kutumia Applications kama Smart Lock, App Lock etc.
3.Ficha application ya Smart Lock, App Lock etc kwa kutumia settings za kwenye hizo Application.

Kila mda mpenzi wako akiongea kwenye simu, maongezi yatatumwa kwenda kwenye ‘cloud’ bila yeye kujua na wewe kwa mda wako utasikiliza maongezi hayo.

NB: Unaweza kutumia Application kama ‘Mighty Text’ kusoma Message zake kwenye PC, hii itakusaidia kuona Message zote zikiwemo za kutumiwa hela au kutoa hela. WhatsApp pia unaweza ku-back up kwenye ‘cloud’.

Kuna wapenzi wangu wawili wamefaulu huu mtihani wa uaminifu kwa asilimia 100% na nikalazimika kuondoa hivi vitu kwenye simu zao kwa sababu hakuna haja ya kuendelea kuvitumia kwa sasa.

Unapatikana wapi ili nikutafute?
 
Huu ndiyo uhalifu wa mitandaoni....
 
We ujakutana na Mimi... Zote izo nazijua.. Nikishika Simu nakagua mpaka utajuta.. Wasiocheza na Simu ndo utawatrick
 
Weeeee huchomoki, mapema sana nitakukamata. Utakagua kitu nilichoficha kwa codes zangu?
 
This is one way of looking for stressful life which =death
 
heh!!!,heheeee hapa kwangu watakoma na hasa mchpuko wangu wa chuo
 
Ngoja ukute anachepuka na baba yako umbea uishe
 
Watu wana wasiwasi, wenye roho nyepesi na hasira nyingi msiwafanyie wapenzi wenu. Mkifanyiana mambo ya ajabu huko mi simo.
 
ili iweje kama umemchoka ni vyema kubwagana kuliko kujitakia presha huku uwezo wa kumuacha hauna

yaani unatishia kujamba wakati unaharisha

acha tupungue manake mtu unatafuta shida mwenyewe
 
Back
Top Bottom