Haaaaa....hii ni ugumu wa maisha tu au kuna kamdudu ndani yake huyu!! Looh..wonders shall never end.
sasas hivi hata shetani ametupa salute mana tunamzidi kwa maasi
Daah kweli watu tuna vimbwanga vyetu ila huyu hapana asee. Lazima hii ilikuwa fani yake kabla hajaolewa. Hawezi anza kujiuza tu ghafla ghafla baada ya kuingia kwenye ndoa.
nakubaliana na ww 100% kuhusiana na hilo
Sure, kabisa. Tabia mbaya haiji ukubwani.
wanasema ustaarabu uaanze utotoni ukianza kubwani utaishia njiani vivo hivyo kwa hili ya huyu sjui tumuiteje
Huyu tumuite mhuni tu. Sijui kala maharagwe ya wapiiii....huyu
ahahahahahahahahhah me sijaita lakini
Teeh teeeh...teeh
nakuambia me simo
Mie pia simo..loh! Wataka kunishkisha eeh teeh teeh haa
wewe umo mana hata maadishi yako yamo imekula kwako ha ha ha ha a
Ohoo..ohooo sio mie, kuna mtu aliiba password yangu labda