Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Vipi wakuu, Nauliza kina dada haswa wa hapa Dar, huwezi kumtongoza binti bila kukuuliza kazi unayofanya. Yaani before aseme no ama Yes, she must ask your job description. Hivi kwanini? Naogopa...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Mimi ni mgeni hapa ndani naombeni mawazo yenu, Ninamchumba ambaye alikuwa nchi za Waarabu kusoma, sasa karudi nyumbani nimegundua alikuwa anampenzi wa hizo nchi akamfundisha mambo ya kufanya...
0 Reactions
55 Replies
8K Views
Habari zenuuu, wakubwa shikamoonii! 😀 Yaliyonikuta acha niwasimulie pengine inaeza ikawa somo kidogo!! Basi bana kuna kimtandao flani ivi kisocial network.. Picha nyingi sana nimetupia...
7 Reactions
98 Replies
14K Views
Nimeishi naye tangu 2006, kabla sijamuoa nilifanikiwa kujenga kinyumba changu huko kijijini. nikamuoa na nikapata kazi kagera sugar. lakini kila siku vitimbwi, anachelewesha chai, mara twende...
1 Reactions
76 Replies
10K Views
Nikitazama ndoa za Vijana wenzangu daah aisee naweza ua mtu. Hapa mtaani kuna mpangaji mwenzangu amekosana na mke wake usiku wa manane. Asubuhi ya leo jamaa kaenda kazini, mchana huu msichana...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Ume uza ng'ombe,gari na nyumba kisa kumsomesha mpenzi wako ili baadae muwe na maisha mazuri anaye enda kusomea udactari nje ya nchi. Baada ya miaka mitano unapata taarifa anarejea nchini...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Nimekua nikichunguza haya mambo ya mapenzi kwa muda mrefu na haya ndio majibu yangu; 1. Kuna watu hawana uzuri wowote lakini wanamvuto wa nguvu kwenye mapenzi (sura mbaya, mweusi tii, yupo yupo...
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Wadau ni sawa kwa mwanamke kumwambia mpenzi wake kuwa anajitikia kufanywa? Au huwa ni tabia ya kikahaba? Maana imenitokea kwa mdada mmoja ananipigia simu mchana nikiwa job na kuniambia kuwa...
0 Reactions
40 Replies
7K Views
Habari wana JF, Niwape pole kwa majukumu ya kila Siku, katika ujenzi wa taifa letu. Kama heading inavyojieleza hapo,nilijikuta niko katika wakati mgumu baada ya kuulizwa swali hilo na rafiki...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Habari Wakuu, Najitokeza kutafuta mke wakuoa, mimi ni mwanaume rijali naishi Dar. Sifa zangu situmii kilevi chochote. Ni maji ya kunde, mwenye umri wa miaka 32, sina mtoto. Nimtafutae awe na...
0 Reactions
13 Replies
6K Views
Habarini wana Jf, Leo wakati natoka shambani nikakatisha mtaa mmoja hivi kwa mbaali nikasikia sema 'Mungu nisaidie' sauti nyingine inajibu 'Mungu nisaidie' nikajiuliza humu ndani kuna maombezi...
0 Reactions
24 Replies
7K Views
Wakuu habari za leo, Kwanza tu nitoe taarifa kuwa humu kuna watu wengi wanataka kuoa na wengine wanata kuolewa. Mimi baada ya kutoa tangazo langu lile la kuwatafutia jamaa zangu wake, karibu...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Habari za jioni ndugu zangu, polen na mizunguko ya kutwa, Ishu yangu ni ndogo sana lakini kila napozidi kuitazama kwa mapana naona si jambo dogo sana, ndio maana nipo mbele yenu hapa nifunguke...
0 Reactions
35 Replies
6K Views
Wakati wa likizo nikiwa mwaka wa kwanza kwenye chuo kimoja kikuu wakati wa likizo nilikuwa na utaratibu wa kufundisha masomo ya ziada, nilijipangia ratiba ya kwenda kumfundisha kila mwanafunzi...
1 Reactions
35 Replies
17K Views
Katika kusaka tonge shughuli zangu kwa mwezi uliopita zilinifikisha Wilaya ya Manyoni mji mdogo wa Mitundu. Kama kawaida macho hayana pazia, niliona chombo cha uhakika na Bila ajizi nikatupa...
2 Reactions
81 Replies
10K Views
Nimejifikiria sana mwisho nimefikiria yafuatayo; 1.Biblia inasema kutozaa ni zambi. 2.Ukizaa nje ya ndoa ni zambi. 2.Ukioa mke zaidi ya mmoja ni zambi Sasa wanaume ni wachache Duniani na...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Hapa ninapazungumzia Changanyikeni wadau, huu mtaa upo nyuma ya chuo kikuu cha Dar es salaam. Huo mtaa una wanawake wengi sana kuliko wanaume, hivyo demand ni kubwa kuliko supply. KWANINI...
3 Reactions
39 Replies
10K Views
Heshima kwenu, Naombeni mnijuze, hivi ni haki kweli kuishi na mkeo hata kama anakufanyia vituko na vitendo visivyo vyakiutu eti kwakuwa mliambiwa mkae pamoja mpaka kifo kiwatenganishe? Kazi kwenu
1 Reactions
24 Replies
4K Views
1. Jamaa ampa talaka mkewe kwa kuonyesha aibu kubwa na kugomea unyumba kwa mwaka mzima Mahakama moja huko Tainan (Taiwan huko) ilikubali maombi ya bw. Chen 38 kumlima talaka bi. Lin 29 (wote...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Miaka minne tangu niachane na aliyekuwa mpenzi wangu, Mwanaume ambaye nilizani ndiyo Omega wangu. Kweli mapenzi yanaumiza sana, naomba niwe mkweli Leo sababu ilifika kipindi nijiue. Mimi najua...
1 Reactions
32 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…