Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Sikuwepo nyumbani tangu Jan 2012, niliporudi nyumbani recently nikakuta kitu hiki kwenye dressing table ya mke wangu! Sijawahi kukiona na sikijui.
0 Reactions
34 Replies
8K Views
Nimegundua watu wengi wanachanganya kati ya kusimulia story na kuwa na tatizo ambalo linahitaji ushauri kwamfano unakuta mtu anahitaji ushauri wa jambo flani lakini mwisho unakuta keshaweka...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Marekani kuidhinisha 'viagra ya wanawake' picha ya viagra ya wanawake Jopo la serikali ya Marekani limewaagiza wasanifu kuidhinisha dawa ya kutibu hamu ya kiwango cha chini ya ngono miongoni mwa...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Chat-pal ikimaanisha rafiki wa kushare mawazo, story, jokes, feelings and experience Kahusu masuala mtambuka kwa vijana, suala la ajira na kipato yakiwemo. Vigezo kuzingatiwa; . Umri usizidi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni mgeni humu Jf, Mwanamke mwenye mawazo chanya anaitajika just 4 chating. Dini yoyote. Umri from 30yrs and above. Elimu from 4m IV and above. Asanteni
0 Reactions
2 Replies
914 Views
Mapenzi ni starehe bwana,mapenzi kupeana raha. Siku hizi imezuka tabia ya mijitu hasa wavulana ( ndio nawaita wavulana kwani akili zao ni za kitoto hata kama ni wanaume),unakuta jitu linaacha...
15 Reactions
113 Replies
17K Views
Nahitaji msichana wa kubadilishana mawazo nina mke. Whatsap +255762129759
0 Reactions
0 Replies
917 Views
Nimeikuta sehemu hiii. Wengi wenu mna wake wazuri ila michepuko vikaragosi,ushauri nasaha bila vipimo: ukichepuka atleast chukua goma la maana hata wife akiliona akiri kumoyo "naam hubby kuna...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Nikiwa mkoa flani hivi kibiashara mwanzoni mwa mwezi uliopita nikakutana na mdada mmoja ambaye alikuja kuanza kazi kama mwalimu wa secondary {hawa walioajiriwa juzijuzi}. Katika kuzoeana...
1 Reactions
42 Replies
7K Views
Awe mwenye tabia nzuri, na mcha Mungu.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mwanamke aliyekamilika; 1. Akili kichwani. 2. Mala.ya chumbani. 3. Mchawi jikoni. Sasa ringia uso walimwengu wakutunzie mume mwanamke inakubidi maujuzi na ujanja yasikauke kichwani mwako usianze...
3 Reactions
13 Replies
3K Views
Habari jamani, Tafadhali kwa mwenye kujua namna jinsi ambavyo unaweza kumudu ndoa mbili bila hata kuleta ugomvi na kuishi kwa amani tujuzane tafadhali kuwa anaweje kumudu wake wawili.
0 Reactions
121 Replies
16K Views
Ni miaka takribani miwili tangu niachane na mwanamke, sasa sijafanikiwa kumpata mtu mwingine ambae naona ni sahihi kwangu.
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Nimefanya uchunguzi kuhusu akina dada walio na umri pungufu ya huo nilioutaja kwenye kichwa cha habari. Katika sehemu nyingi nilizotembea kwa bongo, nimegundua kuwa mabinti warembo walio chini ya...
1 Reactions
33 Replies
5K Views
Wadau hamjambo, Nimekuwa na kijitabia flani hivi cha ajabu sana, hii tabia nilikua nayo toka udogo wangu nikaona kawaida sasa nimekua na bado naendelea kuiwa nayo na sijui chanzo chake. Toka...
0 Reactions
48 Replies
5K Views
Wakuu mambo. Kwa muda wa miezi 3 sasa nipo kwenye mahusiano na dada mmoja toka kule visiwa vya karafuu,ni mzuri ana sifa zote ila tatizo lake huja wakati wa faragha,toka nimekuwa nae kwenye game...
2 Reactions
238 Replies
53K Views
Hivi wakati wa kufanya mapenzi kuna maneno ya kuzungumza anayotakiwa mwanamke ayaseme na kuna ambayo mwanaume anatakiwa kuyasema au wote mkae kimya ? Na kwenye kuangaliana inabidi mtazamane...
0 Reactions
81 Replies
162K Views
Haya tunaanza,ni kitu gani zaidi ambacho umeshawahi kufanyiwa/kumfanyia mtu wako uliye naye? na je kama hakuna,unahisi huo uhusiano wako si wa dhat?i mean kwamba unahisi huyo mpenzi wako uliye...
0 Reactions
29 Replies
7K Views
Hamjambo, Mimi nina range kuanzia 23-25 lakini katika maisha yangu ya mapenzi sijawahi pata mwanamke ambaye nipo nae sawa au ambaye nimemzidi umri na mpaka sasahivi sijui kwanini na hao wakubwa...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
WanaJf, Naombeni tuwape ushauri wanaume wanaopigwa na wake zao na kuendeshwa kama mahouse boy maana suala ili lina zidi.
0 Reactions
43 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…