Parata
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 3,090
- 693
Mwanamke aliyekamilika;
1. Akili kichwani.
2. Mala.ya chumbani.
3. Mchawi jikoni.
Sasa ringia uso walimwengu wakutunzie mume mwanamke inakubidi maujuzi na ujanja yasikauke kichwani mwako usianze lawama eti mwanaume wako hajatulia, wakati wewe kila siku unapika bokoboko, khaaa aibu mtoto wa kike kuringa na vikucha vya bandia eti huwezi kukata nyanya kisa umebandika leo buhahaaaa.