Ni kitu gani kizuri zaidi ambacho ulishawahi kufanyiwa na boyfriend/girlfriend,mpenzi wako? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni kitu gani kizuri zaidi ambacho ulishawahi kufanyiwa na boyfriend/girlfriend,mpenzi wako?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Miss Parliament, Jun 30, 2011.

 1. Miss Parliament

  Miss Parliament Senior Member

  #1
  Jun 30, 2011
  Joined: Jun 27, 2011
  Messages: 107
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Haya tunaanza,ni kitu gani zaidi ambacho umeshawahi kufanyiwa/kumfanyia mtu wako uliye naye? na je kama hakuna,unahisi huo uhusiano wako si wa dhat?i mean kwamba unahisi huyo mpenzi wako uliye naye sio special?
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Jun 30, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kua nae tu ni kitu kizuri cha kutosha!!
   
 3. Ta Kamugisha

  Ta Kamugisha JF-Expert Member

  #3
  Jun 30, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 3,003
  Likes Received: 1,077
  Trophy Points: 280
  Te te te! lizy umenigusa. dah umenikumbusha mbali.
   
 4. Miss Parliament

  Miss Parliament Senior Member

  #4
  Jun 30, 2011
  Joined: Jun 27, 2011
  Messages: 107
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Lizzy,

  thanks,sio kwamba nitamuacha pengine nitabuni mradi!
   
 5. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #5
  Jun 30, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  ku kimbizana
   
 6. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #6
  Jun 30, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Nimemaanisha kwamba kitendo cha kua tu na huyo mwenzangu...yeye kua na mimi...wewe kua na wako...yeye kua na wewe ni kitu kizuri tosha!!
   
 7. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #7
  Jun 30, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mmmh mbali wapi huko TK?!Tuambizane basi.....!
   
 8. wahida

  wahida JF-Expert Member

  #8
  Jul 1, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 388
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  maudhi, nakudanganywa
   
 9. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #9
  Jul 1, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,328
  Likes Received: 22,172
  Trophy Points: 280
  alinipiga kibuti wakati nimesha mchoka kabisaaaaa, ilikuwa tamu saaaaana kwangu.
   
 10. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #10
  Jul 1, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mwaka 2004 mpenzi wangu wa muda huo ambaye tulikuwa tunaishi pamoja,kila mtu alikuwa na kwake lakini tulikuwa wiki kwangu wiki kwake alinitayarishia suprise birthday party bila mimi kuhisi kitu akaalika marafiki,mwanamziki na kila kitu na kuniambia leo usiku kwenye saa mbili naomba uje kwangu umependeza kuna mjomba nataka tukamsalimie,kufika pale giza tupu ile nataka kuondoka taa zote zikawashwa na watu wakaanza kuimba 'happy birthday' sitaisahau siku ile wala yeye sitamsahau kaolewa na ni tajiri hivi sasa.
   
 11. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #11
  Jul 1, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  sa ilikuaje mkaachana?
   
 12. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #12
  Jul 1, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,091
  Likes Received: 6,557
  Trophy Points: 280
  Kutoka kazini na kukuta kabati lenye nguo zangu limehamishiwa chumba cha watoto.
   
 13. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #13
  Jul 1, 2011
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,712
  Likes Received: 8,263
  Trophy Points: 280
  Hahahahaahahah..
  Mamndenyi, unamaanisha kikapu chenye nguo zako!???lol teh teh teh..
   
 14. s

  shalis JF-Expert Member

  #14
  Jul 1, 2011
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 272
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nawasalimu JF nimeachana na kambi ya ukapera na kuamua kujiunga moja kwa moja maana nimekuwa msomaji muda mrefu.
  nawasalimu wote.
   
 15. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #15
  Jul 1, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  kunipa!!!!:A S 114:
   
 16. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #16
  Jul 1, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Mazuri yapo mengi, lakini kila wakati huwa nakumbuka ule wimbo alioniimbia nilipojifungua mtoto wetu wa kwanza sikujua ana sauti nzuri vile na kila wakati nikiusikia huo wimbo huwa natabasamu.
   
 17. Romance

  Romance JF-Expert Member

  #17
  Jul 1, 2011
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 587
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  naamini hamna kitu kizuri zaidi ya mimi kummegea hio kitu ni priceless afta all hajanioa.
   
 18. Tulizo

  Tulizo JF-Expert Member

  #18
  Jul 1, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 849
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Kumbuka Mpenzi wako ni mirrow yako..hivyo basi kama anafanya vile wewe unapenda au unataka basi Mpenzi wako binafsi ndiyo special na siyo kile kitu kinachotoka kwake au kinachoenda kwake.

  Huwezi kujua mpenzi wako ni special kwa kulinganisha na vile jamii inavyosema au inavyotaka. Anayempa mpenzi wake andazi kwa hela aliyoangaikia siku mzima anaweza kuwa special kuliko yule anayempa mpenzi BMW kwa hela ya wizi na huku mpenzi akijua.. Kama ninavyosema daima mapenzi ni myth na ni ngumu kujua..lakini pia ni rahisi kuhisi...
   
 19. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #19
  Jul 1, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,091
  Likes Received: 6,557
  Trophy Points: 280
  Namaanisha kabati la nguo, yaani kabati zima la mbao ya mninga, siyo kapu ati.
   
 20. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #20
  Jul 1, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,091
  Likes Received: 6,557
  Trophy Points: 280
  heee, nini hiyo.
   
Loading...