khaliciouz
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 579
- 212
Nimeikuta sehemu hiii.
Wengi wenu mna wake wazuri ila michepuko vikaragosi,ushauri nasaha bila vipimo: ukichepuka atleast chukua goma la maana hata wife akiliona akiri kumoyo "naam hubby kuna kitu anakosa toka kwangu" sio wife anaona mchepuko anaishia kushika kichwa kama kafiwa.