Ni kawaida kwa mwanaume aliyekamilika kula vibuti. Vibuti vina staili tofauti, kuna kumwagwa na kumiminwa.Hiki ni kibuti ambacho sitakaa nikisahau, kwani nilipopewa haya maneno, sikuwa na moyo wa...
Habarini wakuu,
Mimi nimekuwa msomaji wa thread zenu mnazokuwa mnazianzisha, pia nimekuwa nikielimishwa na wakati mwingine kuburudishwa.Ila kuna tabia ambayo imeanzishwa kwa baadhi ya member...
Kwa nini hili jukwaa kila siku linakuwa na new topic nyingi kuliko jukwaa zingine za JF.
Au members weng humu JF wana stick sana kweye malavidavi nini,?
Habari wakuu,!
Nimekuwa na mahusiano na wasichana sita ambao kila mmoja nafanya nae mapenzi, lakini napenda sana kuachana na hii tabia chafu ya kuwa na wasichana wengi na nimejaribu sana...
Ni vigumu sana kupanga kitu na kikaenda kama kilivyopangwa;
1. Mfano wengi wanaishi na wenza ambao hata hawajawahi kuwawaza, pili walio wengi pia tunaishi kwa plan 2. Baada ya ile ya kwanza...
Wana JF,
Kwa muda mrefu sana kuna watu walikuwa wakielezea uhalisia wa maisha yao ya kupenda hii kitu na kubezwa sana, wengine kuwaona wehu, wengine kuwaona wanamfadhaiko usio na kifani. Kuna...
Nilikuwa na mpenzi wangu ambaye nilidumu naye kwa kipindi cha miezi 8, tulikuwa tunapendana sana ila juzi juzi aliniambia kuwa"kuanzia leo hatoshiriki tendo la ndoa na mimi, badala yake tuwe na...
Wakati mwingine wanaume hatujui tunataka nini. Mwanamke anaweza kuwa mwema kupita kiasi, lakini bado ukatamani kituko/mwanamke wa nje. Hakika niliushangaza mtaa, nilitamani siku zirudi nyuma.
Nahitaji mchumba wa kike mwenye kuvutia kitabia na mwenye upendo kwa mume asiwe mwalimu mwenye kudhani anavutia. Ila mimi napenda mtu asiye tapeli nahitaji aliye tayari anijulishe na ni marufuku...
Naombeni msaada wenu jamani,
Je niende police kushtaki au nikamwamshe mjumbe wa nyumba kumi kumi au nichonge na baba mwenye nyumba wangu kwani sasa inaelekea saa 7 usiku sijalala bado na...
Mwezi uliopita, mke wangu alisafiri kikazi mkoani. Nikawa nimebaki mimi, msichana wa kazi na watoto wetu 3. Kati ya hizo siku ambazo mke wangu alikuwa safarini nilifanya tendo la mdoa na msichana...
Habari za jumatatu wana MMU,
Mwenzenu nimepatwa na janga jipya kabla ya janga la kwanza kuisha. Nina mpenzi wangu ambaye nilitamani sana kumuoa anasoma na kuishi Tanga mwezi wa kumi na mbili...
Habari yenu guys.
Statistics(takwimu) zinaonesha kuwa waathirika wa VVU (UKIMWI) nchini Tanzania wengi wao ni wanawake yaani tena kwa ratio kubwa. Inasemekana watu 7 kati ya 10 walioathirika na...
Wana jamvi habarini za usiku,
Poleni na kazi ya kuendelea kujenga taifa la mafisadi. Wakati tunapoendelea na kuondoa stress za hapa na pale kupitia chombo hiki kitukufu na adhimu kabisa. Naomba...
wakuu nina hoja ndogo saana hapa, kuna tofauti gani kati ya wanaume wanaopenda kuhonga sana mabinti/wanawake na wale wasiopenda kuhonga kabisa, wazoefu wa hii kitu tujuzeni
Nina rafiki yangu wa kike tangia tupo secondary, ni rafiki hasa yaani wa mie kwenda kwao likizo na yeye kuja kwetu likizo wakati tunasoma, ni urafiki ambao wazazi wetu wanaufahamu, tumekuwa...
Ugonjwa wa Ebola ni tishio kubwa kuliko magonjwa mengine tuliyoyasikia maana yanakuondoa duniani kwa haraka zaidi na kasi ya ajabu kwa kuwa kila sehemu ya mwili yenye tundu au uwazi inatokwa damu...
Wakuu,
Naomba kujua kuhusiana na wazazi kulala na watoto,hivi ni upande upi mtoto anastahili kulala pindi bado analala na wazazi wake, je ni pembeni ama katikati ya wazazi?
Habari za weekend wana JF,
Rejea kichwa cha habari hapo juu. Nina jirani yangu na rafiki yangu amenifuata leo asubuhi ni kutaka ushauri juu ya jambo flani. Jamaa yangu kuna mida alikua na pesa za...