Wanaume wanaohonga sana vs wanaume wasiohonga

Wanaume wanaohonga sana vs wanaume wasiohonga

lukelo sakafu

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2015
Posts
2,938
Reaction score
517
wakuu nina hoja ndogo saana hapa, kuna tofauti gani kati ya wanaume wanaopenda kuhonga sana mabinti/wanawake na wale wasiopenda kuhonga kabisa, wazoefu wa hii kitu tujuzeni
 
Wanaohonga ni wale wanaopenda sana hadi kuoza,wasiohonga ni matapeli wa mapenzi meneno na ahadi nyingi lakini baada tu ya kuona ndani wanasepa wanaenda kutapeli kwingine
 
watu siku hizi hawahongi, wanatoa tuuuu
si ndio hapo, yani ukimpa hela binti simply umeridhishwa na huduma yake eti unaitwa mhongaji. Kama kutoa shukrani au motisha ni kuhonga basi kila mwanaume ni mhongaji sema tunazidiana kiwango maana we unalala na binti wa watu hala fu eti unampa buku ishirini na umemgaragaza usiku mzima. Hata hivyo hatuhongi siku hizi ni unatoa tuuuuuuuu!!!!
 
Kimsingi sielewi unakuwaje mwanaume halafu hautaki kiumtunza mwanamke wako? Sasa si bora na wewe ungezaliwa mwanamke tu ili tukutunze kuliko kukaa na binti wa watu hata gauni tu kununua hautaki kisa eti utakuwa unahonga, vizuri vinagharama wazee. Usione vyaelea vimeundwa hata wahenga walisema.
 
Ila kama wewe ni mzee wa puli a.k.a Puchu, hakika hauwezi kuelewa nini maana na kuhonga.
 
Kimsingi sielewi unakuwaje mwanaume halafu hautaki kiumtunza mwanamke wako? Sasa si bora na wewe ungezaliwa mwanamke tu ili tukutunze kuliko kukaa na binti wa watu hata gauni tu kununua hautaki kisa eti utakuwa unahonga, vizuri vinagharama wazee. Usione vyaelea vimeundwa hata wahenga walisema.

Mkuu kuonga tofauti na kutoa tuanzie hapo kwanza we uko upande gan?
 
Mkuu kuonga tofauti na kutoa tuanzie hapo kwanza we uko upande gan?
Mie nipo kote kote kwenye kutoa in the meaning yako ya kutoa na pia nipo kwenye kuhonga maana sijajua kwako wewe ukitoa shilingi ngapi inaamount kuhonga au ni mazingira yapi kwako wewe yana amount kutoa na mazingira gani yana amount kuhonga ila mie naona ni kuhonga.
 
Wasiohonga wanaishia kuwaita wanawake wazuri shemeji na kwa wahongaji the viceversa is true
 
mimi nishahonga iphone 6 kama nane na magari mawili ila kwa ahadi kuwa vinatoka njee
 
Back
Top Bottom