amakyasya
JF-Expert Member
- Jun 26, 2013
- 3,480
- 918
Ugonjwa wa Ebola ni tishio kubwa kuliko magonjwa mengine tuliyoyasikia maana yanakuondoa duniani kwa haraka zaidi na kasi ya ajabu kwa kuwa kila sehemu ya mwili yenye tundu au uwazi inatokwa damu kwa speed ya kimbunga.
Ugonjwa huu unaenea zaidi kwa kugusana, mate, makohozi n.k sasa kati ya hizo njia za kuenea zipo kwenye idara ya romance katika taasisi ya mapenzi i.e wazee wa kudendeka na denda sijui itakuwaje maana hata kushikanashikana pia noma!