Wanawake walio wengi wamekuwa wakitumia mbinu mbalimbali ili wapate wenzi wa maisha. Nina wasiwasi kama akina dada wanajua hasa ni kitu gani wanafuata katika ndoa. Naomba niwasilishe kilio na...
Kuna dada anapendwa sana anapenda sana mahusiano hayo yamedumu kwa miaka miwili mpaka saivi na hawajawahi kuonana. Jamani hivi kunauwezekano wa kuwa na mahusiano kwa kutumia simu?
Kwanza kabisa wasalaam wote humu ndani,
Nina miaka 26, sina mpenzi wala mchumba cha zaidi kutongoza siwezi kabisaa naishiwa swagaa. Naombeni ushauri ndugu zangu ili niiachane na huu useja...
Dawa ya wazazi aina hii ambao wanabagua sana, yaani mwanaume ukienda kujitambulisha wanakuletea vikwazo kibao ni kutia mimba kwanza binti yao.
Unaenda kujitambulisha kipindi mimba kana miezi...
Wana jamvi naomba ushauriwenu juu ya kinachonisibu.
Ni muda wa mienzi 7 sasa toka nibahatike kuwa na mpenzi wangu ambae tunatofautiana dini. Kwa kipindi chote nimekua nikimpa kampani katika...
Kuna tetesi huku mitaani kuwa msichana akiwa anapenda kuvaa nguo za kuonesha makalio yake, na kupenda kuyatingisha ovyo, kuyakuza kwa kutumia dawa za Mchina etc, ina maana kwa asilimia kubwa...
Naombeni kujua mapenzi ya kweli yanapatikana kwa njia gani au utajua vipi kuwa mwenzio anakupenda ukweli. Katika maisha haya nilipendana sana na dada mmoja nilimpenda kweli hadi siku 1 akaniambia...
Mimi ni binti wa miaka 25, niliwahi kuwa katika mahusiano hapo awali na kijana mmoja nilikuwa mwaminifu sana na nilimpenda sana lakini mwisho wa siku tukaachana bada yakugundua simwaminifu...
Habari Zenu Mabibi Na Mabwana..
Kwajina Naitwa Michael Bt Weng Wamezoea KuNiita Drizzy/mickey Pia Nina Umri Wa Miaka 23
Nimeishi Kwa Upweke Kwa Takribani Mwaka Sasa Na Hii Ilitokana Na...
Hii article nimeidonoa kutoka kwenye yahoo personal na kuifanyia editing kidogo ili kuifupisha isiwachoshe lakini naamini, having read it all myself, itakuwa very useful kwa wengi wetu hapa...
1. He has a good relationship with his admirable dad
If his dad is a good husband and father and he looks up to his dad, chances are he will be like his dad.
2. He separates himself from bad...
Mimi ni kijana ntatimiza 27 mwezi may, hapo awali nimekua na mahusiano na wasichana tofauti kwa vipindi tofauti. Nilipoachana na x wangu wa mwisho mwezi September 2014 nilipanga kukaa mwaka 1 bila...
I'm a young man,and currently working with the biggest and famous Bank here in Tanzania.
Lately, I've been thinking about the type of woman that I want to end up with one day and I think I pretty...
I'm a young man, and currently working with the biggest and famous Bank here in Tanzania.
Lately, I've been thinking about the type of woman that I want to end up with one day and I think I...
Najiuliza hivi wanaume wangekuwa nao wanavaa sketi je nao wangekuwa wanalaumiwa kwa kukaa ovyo(uchi)?
Maana sasa inaonekana kama fashion wanawake kukaa ovyo mtu kasketi kafupi alafu kajitanua...
Let us keep in mind that we cant force anyone to love us. We shouldnt beg someone to stay when they want to leave. Thats what love is all about freedom.
However, the end of love is not the...
Majuzi nilipost kusikia maoni juu ya uamuzi wa kuvunja mji kwasababu ya mke kuwa na matumizi makubwa hivyo kunipa wakati mgumu kiuchumi. Kabla ya kupost ile thread niliifanyia backup as sms kwenye...