mullaX
JF-Expert Member
- Aug 11, 2014
- 312
- 97
Mimi ni kijana ntatimiza 27 mwezi may, hapo awali nimekua na mahusiano na wasichana tofauti kwa vipindi tofauti. Nilipoachana na x wangu wa mwisho mwezi September 2014 nilipanga kukaa mwaka 1 bila kupenda mtu, ni miezi 4 sasa nipo single na nimegundua naweza kukaa zaidi.
Sasa natangaza rasmi kuwa single mpaka September mwaka huu au zaidi.
Sitaki mapenzi.
Sasa natangaza rasmi kuwa single mpaka September mwaka huu au zaidi.
Sitaki mapenzi.