Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Moyo unauma sana kisa hanitaki tena, sijajua kama ni hasira au ameamua kabisa sababu ya msingi siioni, ila ndo kaniblacklist, bad enough I was so committed na nilimpenda kwa Moyo wote kabisa...
0 Reactions
90 Replies
10K Views
1. Let her guilt you into anything Bear with me, I know this is easier said than done. She put that puppy dog face on, or worse, was flat-out adamant about your Friday evening itinerary which did...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Ameniacha kisa amefeli mimi nimefaulu eti anadai tukija oana nitamdharau kwahiyo atatafuta saizi yake hiyo ni haki kweli?Au hakunipenda tu tokea mwanzo?
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu, Kina baba tunajua mnapenda sana watoto sio kama kipindi cha nyuma lakini yahitaji uvumilivu na subira pia imekuwa ukiona miezi tu hakuna dalili mnaanza visa na maneno ya...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Samahani wana jamvi, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 21, nipo na mpenzi wangu kwa mda wa miaka mitatu sasa tulianza mahusiano tangu tupo o-level, kiukwel nampenda, mnamo mwezi ulopita...
4 Reactions
38 Replies
5K Views
You must under 23. adventist christian. Race trible education size tupa kule. PM or Mail via [edu.pioneer76@gmail/yahoo.com]
0 Reactions
3 Replies
972 Views
Wiki kadhaa nimeumizwa na mahusiano na mpenzi niliempenda na kumwamini, kiukweli iliniuma sana ila nikamsamehe kwa kuzuga kwakua alitembea na mtu mwingine. Sasa nikaamua kuwa na wapenzi watatu na...
2 Reactions
42 Replies
6K Views
Swali; Je, kupiga picha mchumba wako akiwa uchi huu ni ungwana au siyo? Je, hapo itakuwa unampenda au vipi? Kumekuwa na tabia ya wapenzi kuwa wanapiga picha za utupu hivi ni upendo au ni nini...
0 Reactions
31 Replies
11K Views
Mambo vp members, Nilikuwa na house girl mtu mzima kama miaka 30 na ushee hivi, wakati huo nilikuwa naishi mbali na familia yangu kikazi, nimeishi na huyo house girl kwa muda mrefu kama miaka...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Natafuta rafiki wa kike popote pale. Nahitaji awe mwenye hofu ya MUNGU ndani yake, napenda awe mrefu, umri 23-27. Mengine tutafahamiana, mimi ni me, umri wangu 28. God bless you
1 Reactions
2 Replies
923 Views
Habari wanajamii forum. Nipo tena kwa Mara nyingine katika kubadilishana uzoefu juu ya mambo mbalimbali yanayohusu mahusiano,kuna jambo limekuwa likiniumiza kichwa sana ni swala zima la kulogwa...
0 Reactions
57 Replies
17K Views
Habari wana Jamiii forums. Kama waida yangu nipo hapa kujifunza na kupeana maarifa,Leo nimeona niongelee udhoefu wangu juu ya kuishi na mwanamke ili akuheshimu,swala la kwanza kabisa ukitaka...
13 Reactions
52 Replies
24K Views
Wasalaam! Ktk pitapita zang Mtandaoni nimekutana na hili la kukamua TEZI DUME au PROSTATE GLAND kwa mwanaume na kufikia Mshindoo wa namna yake!! Waungwana ebu tujuzane Hli tendo! Je...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani wanajamvi salaam; Nimeona watu tuna miili tofauti. Utakuta mwanamke au mwanaume ana mwili laiiiini. Ukimshika mkono laiiini. Hivi hii hali ina mahusiano na uwajibikaji kwenye viwanja vya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wanajamii, Kama heading inavyojieleza hapo juu, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 majuzi hapa nilikuwa na chat na mpenzi wangu WhatsApp ila katka maongezi yetu akaleta utani ambao...
0 Reactions
79 Replies
13K Views
Xxxgvcffcggvvvvggvvbbhcccvvvvvvcvv bhv gbb
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Mida ya kulala ukiwa na mpenzi wako kati ya nyimbo za boys II to men na Philip Collins unaenjoy nyimbo za nani?
0 Reactions
43 Replies
6K Views
(By Robbie Dillon) Trust me, as you get older, sex drops further and further down your list of relationship priorities. I moved in with the love of my life a couple of months ago. She’s smart...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
  • Closed
Mimi ni mnywaji, kwakeli ninapigapiga, nimechoka kukaa na mke, napenda nikae peke yangu, ila akisafiri huwa na sumbuka sana, siku mbili bila kula si ajabu tena huwa nimeonja, nifanyeje? Napenda...
0 Reactions
38 Replies
6K Views
kuna mwanamke nilimwambia kuwa nina maisha magumu akanijibu kuwa nimwambie ukweli asije jutia je ipo vipi hapa
2 Reactions
37 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…