Kuna msichana aliibuka tu whatsaap bila mimi kumfahamu, akadai ananifahamu siku nyingi isipokua mimi ndo nimemsahau, kila nilipojaribu kuvuta hisia kujaribu kumkumbuka hesabu zinakataa nikasema...
- Nina umri wa 32
- Sijaolewa, sina mtoto
- Mkristo mkatoliki
- Nina elimu ya chuo
- Mwajiriwa Serikalini
- Nina hofu ya Mungu ndani yang.
Natafuta mwanaume ambaye na yeye anahitaji mwenza kama...
Je umetelekezwa na mume/ mchumba/ boyfriend na amekuachia mtoto ambaye hamtunzi na wala hamjali?
Nimejitoa Kuwa sadaka kwa watoto wapweke wasio na baba. Wajibu wangu utakuwa Kuwa karibu na mtoto...
10. Does Your Car Really Matter?
Brands communicate your status, right? Actually, it turns out, not really. These ladies mostly just care that you have one. And even worse than not having enough...
Jana niliwaletea uzi hapa kuelezea ni namna gani ninavyowazimikia mademu wenye vigugumizi....wapo walioniponda kwa maneno ya kuudhi na wengine hadi wakani PM ili tu kunitukana. lakini hiyo siyo...
Wakuu,
Kiukweli mimi huwa navaa boxer na wakati imwingine chupi za kawaida lakini kiukweli nikiwa nimevaa boxer huwa siko comfortable kabisa kama naziona kama zimekaa kikekike.
Je, ni vazi gani...
Ni kweli kuwa mwanamke akikaa wiki kadhaa bila kufanya mapenzi mfano labda kaenda likizo au semina au kaamua tu kukaa bila kuwa na rafiki wa kiume sehemu zake za kike hujirudi na kuwa taiti...
Ninaomba wataalam na wazoefu wa mambo haya wanisaidie kwa hili, ni kweli watu wanaofanya mazoezi makali sana na ya muda mrefu wana matatizo ya kuchelewa kufika kileleni?
Kama ndvyo ni kwa nini...
Salamu zangu ziwafikie popote mlipo,
Sina mengi zaidi ya kuwauliza hawa vidume wenzangu hawa,tunapo kuwa na wenzi na kuhitaji kale ka mchezo huwa tuko wepesi sana kuwaparamia na kuwavua pichu...
Jamani ma fellow members,
Nina mpenzi wangu tulikuwa tunapendana sana yani na anajua kabisa kuwa yeye ndo my future wife Mungu akitujaalia uzima but kaja kubadilika ghafla.
Ni kweli nlimkwaza...
Waungwana,
Nimepima UKIMWI hivi mara tata kwa miaka mitatu na nikawa sina maambukizikwa maana 2014, 2014mwishoni na mwezi huu wa nne 2015.
Hayo ni maneno aliyokuwa anasema mchumba wa rafiki...
Jamani, jamani, jamani......ni cku nyingi naona haya mambo yanafanyika mbele yangu lakini kwa leo imezidi, wife wangu ana kaka yake wanaefuatana kuzaliwa, kwa maana ya kwamba wife ni mkubwa...
Habari zenu waungwana,
Najitokeza hapa kutafuta mchumba muislam ambae Mungu akijaalia aje kuwa mke wangu,nipo serious nahitaji kuwa na mchumba kwa wakati husika,mimi ni muajiriwa Serikalini na...
Naitwa Mudy natafuta mpenzi mwenye mapenzi ya kweli ili ikiwezekana baadae aje kuwa mke wangu.
Sifa awe mnene na pia awe na kazi yoyote ile mimi nipo Dar ke.
Mawasiliano nipigie no.0652868486