Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari,japo Ninakipato Kidogo Nitajiri Wa Furaha Na Upendo .jinsia Yangu Ni Mwanaume.Natafuta Mke Ataenipenda Kwa Kila Kitu.Sina Kaz Ya Uhakika Ila Inaningizia Kipato Na Kufanya Mambo Makubwa.Mke...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Yaani bedroom, mke hata awe mstaarab kiasi gani kikawaida huwa anameza nafasi ya uhifadhi wa nguo. Kama ni kabati atajaza nguo zake mpaka wewe uhamie masandukuni na huko usipokuwa makini utakuta...
10 Reactions
95 Replies
23K Views
Habari ndugu zangu wa Jf, Naamini hapa huwa napata ushauri usio na hila. Mimi ni mwanamke niko single, niliachana na mwanaume huyu baada ya kumweleza kuwa nimepima nikakuta nina ujauzito wa...
0 Reactions
67 Replies
8K Views
Habari wana Jf, Mume wangu anaishi nje ya nchi, leo nimepigiwa simu na rafiki wa mume wangu akilalamika kuwa mume wangu katembea na mke wake na kwa msisitizo ameniambia amewaconfront mume wangu na...
5 Reactions
118 Replies
16K Views
Niko kwenye kipindi kigumu sana wana MMU, nahitaji msaada wenu kwa ushauri na mengine. Iko hivi; Nilitokea kumpenda binti mmoja ambaye pia alinipenda, mahusiano yetu yalianza kama urafiki...
0 Reactions
44 Replies
5K Views
: m@gmail.com
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nimeoa kwa bahati mbaya nikagongwa fain 1.5ml, wakati nina mahusiano na huyo mwanamke kwenye akaunti yangu kulikua na 1.2ml na alikua anajua. Lakin cha ajabu wakati najitetea kuwa sina hela ya...
0 Reactions
43 Replies
6K Views
Naitwa xamwel kutoka kwa wakulima wa ndiz a.k.a the green city. natafuta mchumba, mwe umri wa miaka 18_20. kama upo tayal nitafute kwa 07144356910 au mwakalikenes@gmail.com. thanks
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wana MMU, Leo nimeamua niwashirikishe hili ili mnisaidie mawazo ama ushauri. Japo ni uzi wangu wa kwanza nategemea kupata mengi kutoka kwenu. Nina mpenzi ambaye tunapendana sana,shida...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Habari wapendwa natumai muko vyema na majukumu ya kila siku. Ukweli kua kwa siku 4 sasa mi na mke wangu tumekua madui na Tunaishi kama mtu na mke mwenzake baada ya kua mtu na mkewe.Tatizo kubwa...
1 Reactions
24 Replies
8K Views
Mchumba wa kike 0754458485
0 Reactions
0 Replies
566 Views
Tafadhali rafiki ndugu najamaa wote, Usitumie namba 0759919873 endapo huna jambo la maana na lenyekujenga.Toa hoja ya maana kwakutumia hekima na busara. Pia ileweke namba hyo si kwaajili ya...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
What most girls don't know about boys (players),, is that: They do anything to keep their heart safe.. But when they fall they fall hard.. Bruno Mars sang a song about about catching a grenade...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Mkaka wa kuchange ideas anahitajika, mimi binti wa 21yrs, if you are here just pm me. Thanx guys
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Natafuta rafiki wa kike ambaye yuko Mbeya ilatu awe anayejielewa mambo mengine tutashauriana. Ambaye atakua tayari ani pm
0 Reactions
3 Replies
987 Views
Nahitaji binti mwenye sifa zifuatazo: 1. Mrefu but sio saana. 2. Blackbeauty, mweupe, maji ya kunde. awe na kashepu, si manyama uzembe. 3. Umri 18-24 4. Awe anajua maisha, so mtu wa kuwaza club...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
gggggggggggggg
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ewe binti mrembo.Tambua kua wewe bado ni binti mdogo sana.Umri wako hujafikisha hata miaka25.Kwanini unakata tamaa ya kuolewa?Kwanini unakosa mtu sahihi kwako ambae atakua mwenzi wako wa maisha...
0 Reactions
59 Replies
7K Views
Habari zenu wapendwa, Naomba kuuliza. Kwanini vijana wengi siku hizi hasa vijana wa jinsi ya kike wanapenda sana hela na tamaa ya mali? Why hawana uvumilivu wa maisha wanapenda mteremko...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
VIpi mkeo akiwa Mbunge na kuwa anatolewa out tena nje ya nchi na vigogo na kutoa penzi. Utavumiliana naye? Maana mke wangu anagombea, nifanyeje?
0 Reactions
49 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…