Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ni lazima nibaki na msimamo huu pamoja na ukweli kuwa rafiki zangu wamenishauri ni tafakari lakini hii haiwezekani, nilitokea kumpenda binti mmoja ambaye toka yupo kidato cha tatu tumekuwa...
1 Reactions
48 Replies
5K Views
Oleweni /oeni wa kuwazidi umri ili muwapunguzie siku za kuwalilia duniani.Huo ni ushauri aliotupa bibi yetu ambaye alifariki tarehe 05.03.2015; Tunamuombea kwa Mungu ampumzishe kwa Amani. Hii...
5 Reactions
37 Replies
4K Views
(By Leandie Buys) My clients are often very surprised to find that some of their biggest relationship ‘hang-ups’ are the result of inadequate education about sexuality when they were younger...
0 Reactions
0 Replies
691 Views
LADIES ONLY. (INAHUSU WANAWAKE) Najua sio wote mtapenda ninachoandika leo lakini kwa watakao fanyia kazi haya itakuwa msaada kwao na punde mtanipigia simu na kunijia inbox kushukuru kwa ujumbe...
6 Reactions
47 Replies
7K Views
Mfano, una ndoa ya miaka 4 na kwa kweli kwa sector ya kufanya mapenzi, tumeshiriki vizuri sana. Sasa unataka kubadilika unataka kufanya mahusiano yetu yazidi haswa, hahahaha yaani kuwa...
0 Reactions
27 Replies
11K Views
Nimejiuliza muda mrefu sababu ya msingi ya dada/mama zetu kujichubua na kutaka kupata rangi nyeupe nimekosa majibu, kwanza nikafikiri ili wapate wa kuwapenda lakini upande wa pili nikagundua hata...
1 Reactions
63 Replies
21K Views
1. "He is a wife beater" Any man who beats his wife or a woman shows just how little he thinks of himself that he feels he needs to show how man he is through violence. A man of right standing...
6 Reactions
20 Replies
5K Views
Raia wema both Kaka & Dada ni mbinu gani mwanamke anaweza kutumia kushawishi au kushinikiza boyfriend au mchumba wake amuoe?
1 Reactions
73 Replies
8K Views
Habari vipi wana JF, Kwa mara ya kwanza nimekuja kwenu naombeni ushauri. Nilkua na mpenzi wangu ambae tulipendana sana yani ninaposema tulipendana tulipendana kweli mara nyingi tulikua pamoja...
2 Reactions
32 Replies
7K Views
Habari zenu wana Jf? Nahisi mko wazima wa afya.Karibu tujadili hili suala nililoulizwa ama kiupande wangu nafikiria ni dharau ya mwisho kabisa ila any way nawaombeni na nyinyi tiririkeni. Ok...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Wengi najua mtakuwa mnanikumbuka nilishawahi kuja hapa jamvini kuomba ushauri niliwaleteaga mada ya jinsi nilivyotumiwaga picha na video za mchumba wangu wakiwa chumbani na msela mwingine...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Poleni na mihangaiko wadau, Mimi ni kijana miaka 27ninafanya kazi kati moja ya mashirika ya umma ninatafuta mchumba (msichana) niko serious kwa hilo,ninaomba aliyetayari ani pm. Muwe na usiku mwema
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tunaendelea kusisitiza ishu ya usafi, Iwe kwa wanawake au wanaume, ngozi ya makwapani ni rangi sawa na sehemu nyingine za mwili.Uvivu tu wa kusugua ndio unafanya baadhi ya watu wawe na mikwapa...
10 Reactions
209 Replies
26K Views
Jana usiku nachati na wife to be nikataka kumskia msimamo wake kuhusu mahusiano,nikamuuliza swali "my mapenzi na pesa kipi kinanguvu katika mahusiano?" Akajibu hivi "nisiwe mwongo pesa ndo kila...
1 Reactions
47 Replies
9K Views
Napenda kuomba radhi kwa wadau wote wa humu mara nyingi ninapoingia jf huwa si logo aut. Najina na paswed hubaki free Hivo kuna mti alitumia sim yangu na namba yangu akaweka ujumbe hapo juu bila...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wa Jf, Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 26,natafuta binti aliyetayari kuingia kwenye mahusiano na mimi naomba awe mkristu,umri 18-23,anayejitambua. Aliyetayari ani pm tufahamiane...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mahusiano yanapovunjika imekuwa ni mara chache mwanaume kumfata mwanamke wawe pamoja labda tu awe amezaa nae na anamfata kwa nia ya kutaka arudi kulea watoto. Lakini haya mambo ya uchumba...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Naitwa James wa Mbezi Beach natafuta mchumba wa kumuoa awe mtanzania na mwenye maadili mazuri awe na umri wa miaka 18-23 cos Mimi ninamiaka 25 na ninafanya kazi Selikalini. Kwa aliye tayari...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Tulioana mwaka 2009 baada ya kukaa kwenye uhusiano kwa miaka 2.Baada ya kupita miaka miwili bila kushika mimba nilimuomba aende kucheki kwamba tatizo ni nini, baada ya vipimo akaniambia kwamba...
1 Reactions
49 Replies
12K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…