Dar Brother
Member
- Jul 29, 2015
- 21
- 7
Raia wema both Kaka & Dada ni mbinu gani mwanamke anaweza kutumia kushawishi au kushinikiza boyfriend au mchumba wake amuoe?
ndoa inahitaji utayari wa pande zote mbili.why ushinikize??.we shinikiza uje upate shinikizo la damu
Mbinu!!!?? Sizani kama kuna mbinu au ufundi wowote kwenye hill jambo, kama alivyosema #Kaboom Utayari ndio kitu cha msingi
Alivyosema Kaboom nakubaliana nayo sitilii shaka mtazamo wake.
Ila naamini mabinti wanateknik zao kutushika tuweze kuingia kifungoni mapema.
Hizo ndio nataka kuzijua
basi sawa mkuu..ngoja waje..ila what i know from male perspective,wanaume hatupendi kuwa controlled mara nyingi..hata kama ilikuwa ni idea ya mwanaume at the first place kuoana,ila mwanamke akianza kuforce tu basi mwanaume ataanza kupiga chenga..we dont like to be manipulated..so the more u force a guy to do something the more he will resistMimi ni mwanaume nataka kutanua benki yangu ya knowledge kwa kujua mbinu za wenza wetu.
ndoa hailazimishwi. Ndoa is something which comes automatically. Utalazimisha harusi lakini si ndoa. Ndoa ya kulazimisha ni ndoano. Lazima utateseka tuRaia wema both Kakaz & Dadaz ni mbinu gani mwanamke anaweza kutumia kushawishi au kushinikiza boyfriend au mchumba wake amuoe??
Kushinikiza??? Hakunaga hiyo kitu hata kushawishi huwezi bali inatokea tu
Mi nimeangalia muda uliopost hii matirio tu baaaas.
Mjadala na uendelee. Maana hautuhusu sisi wazee wa 1947 ambao tuliletewa wake nyumbani na wazazi wetu.
Mi nimeangalia muda uliopost hii matirio tu baaaas.
Mjadala na uendelee. Maana hautuhusu sisi wazee wa 1947 ambao tuliletewa wake nyumbani na wazazi wetu.
Wengi wakiona hausomeki, anakutegeshea mimba.
ha jaribu cku hizi unabaki na mtoto wako tena bila hata matunzo