Mwanadada mmoja mrembo, jana ametweet kuwa swala la wanaume kunuka midomo (Halitosis) ni noma sana na ni kikwazo kwa mahusiano mengi kuwa endelevu (tweet attached). Tweet hiyo ilizua patashika la...
Habari wana JF,
Tatizo lililonifikisha hapa jamvini ni kisa cha kuwapenda mabinti wawili tofauti katika mahusiano wote nimedumu nao takribani miaka 3, wao hawajuani kwani niko makini sana na kila...
Mara ya mwisho nakumbuka nimemtoa Wifi yenu Out.Tuligawana Majukumu.
Kama mimi talipa nauli basi yeye anunue chakula.
Nashukuru alikuwa muelewa akafanya hivyo.
Hapo mwingine si angegharamikia...
Natafuta mwanamke aliye tayari kuolewa umri miaka 18_37 sina ubaguzi wa rangi wala kabila ila awe mrefu kiasi.napatikana kwa no.0752590897.kama aupo tayari please tusipotezeane muda.
Mimi ni Kijana na mwajiriwa katika kampuni ya Logistics na nilikua katika position kubwa sana katika hiyo kampnuni kutokana na wezo wang wa kufanya kazi na kua flexible katika kuhandle sector zote...
Mama lishe wengi ndio mkombozi wa watu wengi katika suala zima la madikodiko hali inayopelekea vijana wengi na watu wazima kuangukia katiki penzi lao sina hakika sana kama sababu huwa kupata...
UTAFITI HURU
Binadamu wote tuko "Curious" kwa maana kila binadamu ana hamu ya kujua mambo mengi sana hata yale ya hatari mtu atapenda ayajue.
Walioanza kulewa walitamani kujua ukilewa huwa nini...
Naomba kushare nanyi experience moja niliowahi kupitia miaka kadhaa iloyopita. Dhumuni ni hii experience ni kwamba kwenye mahusiano usimwamini mtu yoyote hata kama ni mdogo wako wa damu hasa kwa...
ULIMTAMBUA VIPI KUWA HUYU NDIYE MWENYEWE…..
(Getting to know her/him)
Hivi mwandani wako ulimtambuaje kuwa ndiye yeye?
Hivi ni maujanja yepi wewe uliyatumia kumpima yeye?
Ni vigezo...
10. Girls Can Be Bad At Sex
This is shocking for most guys. At first, the simple fact that you were both naked was all it took. Then there is that one girl who seems to be dangling from the...
Almost of girls wa saivi wanapenda sana boys wenye pesa hawampendi mtu kama mtu wanampenda kwa sababu ana kitu.
Kwaiyo katika mapenzi akiumizwa anaanza kuwachukia boyz wote! Wakati sisi wengine...
Natafuta mchumba mwenye sifa hizi;
1. Awe na umri usiozidi miaka 32
2. Elimu kuanzia diploma
3. Mkristo au muuslam aliyetayari kubadr dini na kuwa mkristo
4. Mcha Mungu
5. Anaejitambua kama mama...
Jaman naitaji maoni yenu juu ya ttz ili kwa vijana wa kiume. Cjajua bd ila utakuta kijana yuko na girl ahadi nyingi na maneno matam ya kimapenzi maby mme wa MTU au yuko single lkn cku ukimwambia...
Wanajamvi,
Mimi nina jambo linanitatiza kwa mpenzi wangu wa sasa. Ninampenda sana na tumeshaahidiana kuoana lakini mpaka sasa hajui kama mimi nina mtoto wa nje, na alishaniuliza sikumjibu...
Kaka yangu mnamo mwaka 2009 alifanikiwa kufunga ndoa, ikatokea nikajenga bond na mkewe kiasi ambacho siwezi kuelezea. Around 2013 kulitokea mgogoro wa kifamilia yote ni kutokana na kutofanikiwa...
Hello,
Kuna trend nimeanza kuiona haswa ninapojaribu ku-socialize na watu wa jinsia zote mbili - ke na - me kuwa mara nyingi najaribu ku interact na watu mpaka nahisi kama vile najipendekeza...