Jamani mapenzi eti yanaua? Maana kuna jamaa kafa na pressure kisa mpenzi wake kamsaliti.
Sasa huyu aliyebaki nae anataka kujiua maana familia zote zinamsema vibaya.
Je nimshauri nini wadau...
Mnaamini hiki kitu kama mimi?
Kuwa ukikuta mwanamke kafanikiwa saana, its either aliolewa halafu akaachwa, au mume alifariki, ama hajawahi kuolewa kabisa, ama mali za mume wake.
It's very rare...
Za majukumu wana JF, bila shaka mko wazima.
Hii ndoto ya kumuota mchumba wangu amekuwa kichaa inanitesa sana, kwani mara nyingi huwa namuota akiokota makopo ndotoni.
Msaada kwa mwenye kufahamu...
Wanajamii, nina mpenz wangu yapata mwaka mmoja sana, nilikuwa na tabia ya kushika na kuangalia cm ya mpenz wangu, ilifika wakati akanikataza nisishike tena cm yake kila mtu abaki na yake, saiv cm...
Habari zenu
Nina mchumba wangu, tumekua na mahusiano muda mrefu sana, sasa imefikia muda nimeona bora nimsogeze niishi nae kabisa, sasa tatizo mimi ni mpagani(sina dini) na huyu mwenzangu kwao...
Habari za asubuhi wana Jamii!
Nina rafiki yangu wa kiume anampenzi wake wamedumu kwenye mahusiona miaka nne sasa! Baada ya kufika hiyo miaka rafiki yangu mfanyakazi na umri nao ukawa unamruhusu...
1.Hachezi mbali na simu yake kila wakati.
2.Inbox na sending items hufutwa kila wakati.
3.Ukimuomba simu yake ghafla lazima akwambie hebu kwanza.......
4. Kamwe haiiti always vaibration.
5. Namba...
Simulizi Fupi:AHSANTE
Mtunzi:kalamu na karatasi Foundation
Mawasiliano:
Simu:0655 08 02 90
Barua Pepe:kalamunakaratasi@gmail.com
Mmmh Acha Leo hii nikueleze MANENO haya mke wangu Asali wa...
Habari wanajamvi!
Naombeni mnijuze ni mwanamke yupi kati ya hawa aliye kwenye hatari ya kuachika? hasa kuachika mapema!
Je ni aliyelelewa na wazazi wote wawili yaani baba na mama?
Je ni...
Habari zenu wana JF,
Niliwahi kuwa na mdada mmoja hivi ambaye tulidumu kama miaka mitatu hivi.
Ila mnamo mwezi wa kwanza mwaka huu nikaamuwa kumwacha yeye ni mwalimu wa Serikalini na mimi pia...
Habari za wakati huu wanajamii?
Ningependa kujua kuna sababu za msingi za kina baba kutopongezwa kwa kupapa mtoto na mama kupongezwa tu au ni ubaguzi tu, au ni mazoea tu?
Siku hizi hata baba...
Me ni boy to men,nahitaji mdada wa kuchati Nae Miaka22-30.Awe anauwezo wa kuchati bila ya kusema salio limeisha nirushie huku hapo.
No zangu 0682321571 kubip unaruhusiwa mara moja.
Asanteni
Yani asilimia nyingi ya wanaume hawapendi kutoka out na wake zao.
Sijui kwanini yani utakuta mara nyingi wako wenyewe au na chips funga aka mipango ya kando aka nkurunzinza.
A S angry::A S angry::
Ndio maana wanaowapatia wanawachuna mpaka ngozi. Ladies unapo mdeti mume wa mtu ukae ukijua haya mambo.
1. The only thing he wants from you is sex, After Cumming he will be gone. He will only...
Nawasalimu wote naamini wote wazima,
Jamani mimi ninashida kubwa naombeni ushauri na so matusi wala kejili.Nimekuwa na mpenzi wangu kwa miezi tisa sasa ambaye nasoma naye chuo kimoja.
Tulikuwa...
Ndugu wanajukwaa,
Mnamo mwezi wa 7 tar.1 kama sikosei nilileta uzi hapa kuwa mpenzi/mwanamke niliyekuwa ninaishi nae alisafisha kila kitu na kutoroka wiki moja kabla sijaleta uzi huo.
Kwa...
Nilitokea kumpenda binti flani chuoni, kila tulipoonana alionyesha dalili za kuwa interested na mimi.Sikusita kumweleza hisia zangu, bahati nzuri alikua keshanielewa hata kabla yakumwambia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.