Habari za wakati huu wanajamii?
Ningependa kujua kuna sababu za msingi za kina baba kutopongezwa kwa kupapa mtoto na mama kupongezwa tu au ni ubaguzi tu, au ni mazoea tu?
Siku hizi hata baba...
Me ni boy to men,nahitaji mdada wa kuchati Nae Miaka22-30.Awe anauwezo wa kuchati bila ya kusema salio limeisha nirushie huku hapo.
No zangu 0682321571 kubip unaruhusiwa mara moja.
Asanteni
Yani asilimia nyingi ya wanaume hawapendi kutoka out na wake zao.
Sijui kwanini yani utakuta mara nyingi wako wenyewe au na chips funga aka mipango ya kando aka nkurunzinza.
A S angry::A S angry::
Ndio maana wanaowapatia wanawachuna mpaka ngozi. Ladies unapo mdeti mume wa mtu ukae ukijua haya mambo.
1. The only thing he wants from you is sex, After Cumming he will be gone. He will only...
Nawasalimu wote naamini wote wazima,
Jamani mimi ninashida kubwa naombeni ushauri na so matusi wala kejili.Nimekuwa na mpenzi wangu kwa miezi tisa sasa ambaye nasoma naye chuo kimoja.
Tulikuwa...
Ndugu wanajukwaa,
Mnamo mwezi wa 7 tar.1 kama sikosei nilileta uzi hapa kuwa mpenzi/mwanamke niliyekuwa ninaishi nae alisafisha kila kitu na kutoroka wiki moja kabla sijaleta uzi huo.
Kwa...
Nilitokea kumpenda binti flani chuoni, kila tulipoonana alionyesha dalili za kuwa interested na mimi.Sikusita kumweleza hisia zangu, bahati nzuri alikua keshanielewa hata kabla yakumwambia...
Wakuu,
Mimi ni Kijana wa miaka 21 sasa nina mpenzi ambaye tumekutana kama mwezi umeisha sasa kweli tunapendana lakini imetokea mushkel baina yetu.
Mara ya kwanza tulipokutana kwa ajili ya kula...
Habari,
Nyimbo hutukumbusha matukio mbalimbali yaliyopata kututokea hapo nyuma.Matukio haya yanawezakuwa ya furaha au huzuni katika swala zima la mahusiano.
Binafsi nikisikia wimbo wa "Missing...
Kwa wasiolewe au kufahamu kuna gari pale Mlimani City inakuwa kwenye parking muda wote. Aina ya noah ni yenye number za usajili T367FG (cheki walivyotoa macho wakaitafute).
Huwa inatumika kama...
Mke wangu anapenda sana siasa kiasi kwamba anataka kuingia kwenye siasa ila bado tunawatoto wadogo sana nimemwambia asubiri kidogo! Naomba uzoefu kwa wakongwe wa siasa changamoto ya kuoa mke...
Natafuta mwanamke kwa ajili mahusiano ya muda mrefu ya kimapenzi na awe yuko huru,umri asizidi miaka 35.Awe ni mtanzania anayeishi au yuko tayari kuishi Dar.Awe mkristo hai anayemcha Mungu.Maombi...
Am looking for a life long partner aged 28-38 am 41, she shouldcome from or be from one of the following tribes Singida, Maasai, Meru, send me a private mesage.
Habari wakuu,
Mimi ni baba wa familia ya mke mmoja na mtoto mmoja ila kuna tatizo katika nyumba yetu, hasa upande wa mama, huwa akisema kitu endapo nitakipinga ataongea wee na kunilaumu kuwa...
Ni jambo la kawaida kumkuta mtoto wa kike akiwa anamiliki "pichu" 15-30 za rangi tofauti tofauti. Na kwa kawaida, mwanamke huwa anabadili "pichu" mara mbili (2) au mara tatu (3) kwa siku. Kama...
Utakuta kila kwenye mazungumzo ya simu na mpenzi wako anakuuliza maswali yale yale mazungumzo yale yale mpangilio ule ule mpaka unakereka na kupata ukurivu na uchoshi (boredom and tiresome) maneno...