Noah nyeusi Mlimani City kwenye maegesho ya magari

Noah nyeusi Mlimani City kwenye maegesho ya magari

mgonjwa

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2013
Posts
514
Reaction score
223
Kwa wasiolewe au kufahamu kuna gari pale Mlimani City inakuwa kwenye parking muda wote. Aina ya noah ni yenye number za usajili T367FG (cheki walivyotoa macho wakaitafute).

Huwa inatumika kama guest , wale member wa samaki samaki na wauza sura wa Mlimani City wanaelewa unaonana na mabaunsa pale Samaki Samaki wanakuelekeza kwa muhusika unapewa funguo unaenda kufanya mambo ya kugegedena jamaa wana count muda ukifika wanakuja.

Ni hatari sana kwa wake za watu wanapigwa vya fasta pale, hiyo noah ni noma siti zake ni safi.

Wale wasiojua na wanataka njoo pm.

Sihami Dar
 
Noah nyeusi siku hizi ndio gesti za kuchinjia wake za watu
 
Mheshimiwa naniliu nayeye anayo Noah nyeusi..ndo ujasiliamali wanaotuambia wanatuletea hao
 
Umejuaje kama na siti zake safi kama siyo mshirika ??? Tumekushtukia unatangaza biashara yako kijanja ... Eti Kama Hujui Na Unataka Njoo pm ...Don't u see shame on U ?
 
Yaani umekaa muda mwingi ukufikiria propaganda na uongo wa kuichafua CHADEMA ukaona hii ndo inafaa? Hongera sana mkuu!
 
Ulivyotumia hiyo huduma ulilipa sh ngapi.. naona hapo unasema sit zake ziko safi... means na wewe ni member!!
 
We mtoa huu Uzi lipia tangazo lako hili
 
Aaagh!Nimepoteza mda wangu kusoma ujinga.Mi nilidhan inauzwa
 
watu wengine bhana,yaani kupaki ki-noah changu jirani na mlimani city ishakuwa tabu.
131-5-125800.jpg
 
Noah nyeusi siku hizi ndio gesti za kuchinjia wake za watu

Ni Noah yenye vioo vyeusi (tinted) yaweza kuwa nyeusi lakini vioo vikawa na semi- tint hivyo kuruhusu visibility
 
Hahaha,aisee umeuwa ajira harama za watu.
Kesho kila mtu mjini atakuwa akiona Noah Nyeupe anajua ni Mobile Guest Mapenzi

Sio hiyo tu,siku hizi watu wengi sana wanaogopa kwenda kwenye Guest na Mahotel kwa kuhofia Cameras.
Asikudanganye Mtu sehem nyingi sana kuna Cameras siku hizi.Lengo lao ni kwa ajili ya Usalama ili kujua kama Mteja unakitu cha hatari ndani.Ila sasa badala yake wanazitumie kuangalia watu wakifanya Mapenzi.

Sasa hii ni biashara ina shamiri saana Jiji la Dar.We nenda au pita Buguruni kama unaelekea Tabata utakuta gari kibaooo.
Na wapo watu wanatoa Gari zao kwa wapiga shot kama hizi.
Huu mchezo wa watu kurekodiwa ni hatari sana na janga kwa wazinifu na kuamua kuhamia kwenye magari
 
Back
Top Bottom