Kwa wanaume, labda hii itakusaidia kama haujui

Kwa wanaume, labda hii itakusaidia kama haujui

Jambazi

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2014
Posts
16,654
Reaction score
18,805
Niiukweli wenye mashiko na tafiti zimethibitisha pia kuwa kwa kumweka mpenzi wako au mke wako mbele, kumtambulisha kwa wanawake wenzake kuwa ni mke wako, kuonyesha wazi na dhahiri kuwa unampenda sio tu kwa maneno bali vitendo, sio kwa kificho bali bayana, kwa kule kutomwonea aibu ukutanapo na wanawake wenzake.

Hali hizi zote hukusaidia wewe zaidi kuwa salama dhidi ya mashambulizi ya kihisia ya wanawake wengine wenye hila. Sisemi hautasumbuliwa, lahasha, waweza sumbuliwa sana ila unakuwa more protected na salama zaidi na pia inaongeza ujasiri kwa huyo mkeo.

Jaribu, anza leo
 
You would have assumed other factors constant, 'ceteris peribus'.
The're people who are always curious doing what others have failed to do.
Introducing to them will attract their curiocity. They'll try penetrating the walls you may seem creating.
 
Itanikosesha chance ya kupata michepuko ya kuwaongopea sasa usiri siri unasasidia

sasa je
 
mi nikiwatambulisha ndio wanazidi kujisogeza karibu na kuonyesha dalili zote za kutaka kuchepuka nao ila tukikorofishana na mamii na kuachana nae kwa muda nao wote wanaanza kua mbali nami
 
kumbe ngoja nifanyie kazi hilo

Anawadanganya huyo, best man wako anaweza kumtafuna mkeo, na waume za watu ndio wanaopendwa na wadada wa mjini wanajuwa kuhudumia, hakuna hata chembe ya ukweli kwenye hii.
 
Hiyo ni kutoka kwa chris mauki...
Mwalimu wangu wa counseling udsm
 
Back
Top Bottom