Jamani,naomba mnijuze,maana naona kila mtu wangu wa karibu ana mpenzi hapa chuo!!hivi haya mapenzi yao huwa yanaendelea kuwepo hata baada ya kumaliza masomo na kufikia hadi kuoana au ni mbwembwe tu?
Juzi nilikuja na bandiko langu la wachumba zangu wawili ambalo mode wamelibadili na linasomeka (nimuoe yupi anaenipenda au ninaempenda)
Samahani sikuwasalimu hamjambo wote..! Mniwie radhi...
Hi Guys ,
So yesterday after work i and a couple of
colleagues decided to hang out , yeah i know , its
not even Friday but we chilled like that do not
worry , lol . After many conversations and...
Habari zenu,
Natumai ni wazima wa afya njema,mimi ni kijana nina umri wa kati ya miaka 30 hadi 37,nahitaji mke,kama una umri kuanzia huo hapo usisite kunitafuta au hata kama una zaidi ya hapo...
natafuta msichana wa kuchati nae awe na umri kuanzia miaka 17-20,dini cyo kigezo bt mkrixto ni xifa ya ziada,awe anapenda mabadiliko pia maendeleo tuweze kubadilixhana mawazo na awe mvumilivu...
Habari wanajamvi pendwa MMU,
Naomba niwashukuru wote mlionichangia ushauri kwenye kisa changu cha kweli "njia panda (nimuoe yupi anaenipenda au ninaempenda?) Jana ndio ilikuwa siku ya maamuzi...
Habari wanaJF,
Rafiki yangu anaomba mwangaza,.
Ni TAILOR aliajiriwa kampuni moja Dar, mpenziwe ni mwalimu Arusha, wameishi pamoja kwa 8 months, dada aka-conceive, akanyanyaswa aondoke...
Mambo ya kufanya ili usimchoke mke wako;
1. Kuwa na ratiba maalumu ya kufanya tendo la ndoa na sio vurugu vurugu au kila wakati.
2. Mpendezeshe mkeo kwa mavazi na chakula bora kwani atakuwa na...
Mimi ni mfanyabiashara maarufu wa kusafirisha magari kwenda nchi mbalimbali nje ya nchi natafuta mwenza wa kuishi nae awe mwanamke mrembo kati ya miaka 20 mpaka miaka 24.
Ambaye yuko tayari ni...
Wana Jf habari za ujenzi wa taifa,
Kuna baba yangu mkubwa alikuja kutoka kijijini amefikia kwangu, amekuja na mkewe binti wa miaka 21 kwa makadirio, Mzee ana miaka 82, alipofika alidai kaja...
Habari zenu,
Nina girlfriend wangu na tunapendana sana mimi ni mwajiliwa na nina kipato cha kati pia age yangu ni 27.
Mpenzi wangu ana age ya 18 na kamaliza form 4 mwaka jana kwao uwezo ni wa...
[SIZE=2]Kuna wengi sana ambao jamiiforums imetukutanisha hivyo mbali na kuweka thread hapa na kutaniana pia wapo ambao wanafahamiana nje ya jamiiforums.
Huwa wanaonana wanapiga story, wanafanya...
Habari wanaJF,
Siku chache kidogo zimepita nilikuwa nauliza njia za kumtongoza polisi na nikapewa nyingi tuu na nikazifanyia kazi sasa jana asubuhi nikamkuta mdada mmoja hivi anaitwa Emmy ni...
Habari wana jf. Naombeni ushauri wenu kwani nipo njia panda na maumivu makali mno moyoni. Mm ni binti nilikua na mpenzi wangu tumedumu miaka 4 na mwaka Jana mwishoni alikuja hom kwa wazazi...
Kuna umuhimu MMU,
Kusitisha mada za kuhondomora na kuingia katika ajenda ya mapinduzi ya kumuondoa mkoloni mweusi.
Maana huu upungufu wa nguvu za kiume na kike zinachangiwa na ugumu wa maisha...
Kama ukiangalia kondom leo hii utadhani kwamba ni rahisi sana kutumia, lakini jambo ambalo wengi wetu hatulijui ni kwamba haikuwa rahisi kutumiwa na kizazi cha watu wa kale. Ukweli ni kwamba...
So, okay youve nailed a few things about having sex down to an art. You know how to move your hips, youve likely made at least one woman (we hope) orgasm and you can get the job done with your...