Mambo vip wanaume wenzangu?
Ebu tupeane mawazo kidogo hapa kuhusu tabia{chemistry}za wadada.
Kuna visa viwili kuwahusu wadada wawili ambao nliwatongoza kwa nyakati mbili tofauti,wa kwanza...
Habari wakuu!
Katika pita pita yangu na harakati ya kutafuta mke niliweza kuonana na binti mmoja kweli nilimpenda na tulianza mawasiliano nae baadae alinitembelea ninapoishi.
Kitu cha ajabu siku...
Mara nyingi na kwa walio wengi (sio watu wote) mapenzi ya kwanza (1st love) huwa yanawaacha na maumivu makali sana ambapo wapo wanaodiriki kunywa sumu ili wafe pindi inapotokea...
Katika ulimwengu huu ambapo UBINAFSI umetawala mioyoni mwa watu ambapo hata kwenye Mahusiano watu wanaangalia mwisho wa yote watajinufaisha vipi na Mahusiano hayo.Si wanawake si wanaume,wote...
Kama nilivyowahi kuwaambia humu kwamba mi sio muajiriwa, nimejiajiri mwnyw na kwa lugha ya siku hizi nitajiita mjasiriamali.......wiki zilizopita nilisafiri kwenda kwenye ule mkoa ambao watu wake...
Mimi ni kijana wa miaka 29, urefu wangu ni wa kati, si mnene si mwembamba; niko kati, rangi ya ngozi yangu ni mweusi kiasi na ki ujumla niko kawaida sana na ninajiamini kwa nichokifanya, nina...
Umri wangu ni miaka 32, natafuta mke wa kuoa mwenye umri kati ya miaka 21 hadi 25 awe mcha Mungu, awe na adabu njema pia awe mtulivu. Nina uhitaji kweli kweli.
Kwa yule atakayekuwa tayari...
Nina mpenzi wangu anayeshi na wazazi wake, tulidumu nae kwa muda wa miezi kumi(10) hadi sasa.
Kwa sasa nipo mbali nae kwa muda wa miezi mitatu ila huwa tunawasiliana kupitia simu, pia tulipanga...
Nimewaza jinsi ilivyo hatari kwa rubani kutua ndege kwenye uwanja bila kujua jiografia yake nikarelate na kufunga ndoa na mtu bila kumjua 'jiografia yake'. Mwenye majibu yanayoendana na maadili ya...
Hiv inakuaje ww mwanaume una mpenz wko mnapendana yan unampenda nayy anakupenda. kpindi hicho mapenz ni mazur sana afu ww huna kaz na huna pesa za kutosha kujimudu nyote.
mungu sio athuman...
Acha mapenzi yaitwe mapenzi..miaka ya tisiini huko ilikua mtu akikutana mpenzi wake wanashikanana shikana kidogo wanaanza game..walikua hawajali sana mambo ya maromance wala nn...ila kwa wakati wa...
Wakubwa mambo vp.. Embana watu wanasema wanaumesiku hizi tumepungukiwa sana uwezo wa kufanya tendo.. Mimi binafsi sijajua ukweli wa utafiti huo.
Nayasema haya kutoka na vitu ninavyokutana navyo...