Mwanamke anatafuta mchumba ambae atakua mme wake baadae

Mwanamke anatafuta mchumba ambae atakua mme wake baadae

jimmy jay jay

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2015
Posts
223
Reaction score
39
Nimetumwa na mwanamke kwamba anahitaji mchumba mwema ambae atakua mme wake baadae awe mcha Mungu na awe na upendo wa kweli.

Ambae yuko tayari amtafute kwenye 0715333218
 
Uhaba wa waume unaongezeka kila kukicha. Avute subra atapata humu mitandaoni atakutana na matapeli tu.
 
Akawe konda tu,kuamka saa 10 kulala saa 5..atakutana na kila sampuli,kazi kwake tu kuchagua!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom