Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Oooo wazee hawawezi kazi ooo zimerojoleka. Haya mie wangu ana 60. Karudi jana saa 6 usiku mie nimelala chaliii nimenyanyua miguu tu,mpaka saa 8 tukalala. Saa 11 kasoro kaamka tena anapapasa haaa...
0 Reactions
49 Replies
6K Views
Wasalam wana jamvi, Sina mengi ila kuwatahadharisha kuwa makini na mwanamke ambae hawezi kuishi pekeake lau kwa muda mfupi bila kuwa na mahusiano yakimapenzi! Yaani kama ni dmsichana wako halafu...
1 Reactions
27 Replies
9K Views
Kuna msichaa ni mzuri kimaumbile siku moja nikamuaproach alipokubali tukapanga siku ya kula mzigo nikajiandaa kisawasawa. Wakati wa kumega tunda mpenzi alipofika kwenye climax akaanza kula godoro...
0 Reactions
42 Replies
8K Views
Hi to all wana JF, heshima kwenu wanajamvi, i have been single for quite long time now and i came to realize that now its the right time for me to find someone who will be my future father of my...
1 Reactions
173 Replies
31K Views
Wapendwa za leo, Kuna dada mmoja hapa mtaani kwetu aliolewa na jamaa wa hapa hapa mtaani akitokea Mikoa ya Kanda ya Ziwa. Binti huyu mzuri wa sura na shepu aliolewa kwa taratibu zote za kimila...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Habari msomaji wa uzi huu. Ni siku nyingine tena enye baraka za Mwenyezi Mungu tumekutana jukwaani kujadili kwa pamoja mambo mbalimbali katika jamii yetu. Niingie kwenye mada. Kwa ufupi cheti...
0 Reactions
12 Replies
6K Views
Habari za mihangaiko wanajamii, Katika Maisha wanadamu tunatofautiana utu,binadamu n.a. kadhalika,ndio maana kuna wengine wanaoona ni sawa hata kuwakataa watoto wa uzao wa damu.Wengine hawana...
1 Reactions
15 Replies
5K Views
Nikiwa na stress za kuibiwa vitu vya ndani vyote na mpenzi wangu, nikaona isiwe shida nikampanga dada wa kazi wa jirani tukutane jioni ya jana lodge iliyoko karibu na ninakoishi. Mwanaume...
0 Reactions
84 Replies
13K Views
Kama unapenda na unajali basi hutajua ni kwanini inakutokea hivyo that's Love: Lakini ikiwa unajua kwanini unapenda kitu au mtu fulani that's Like: Kuna kitu ambacho kinakuvutia au kuna mtu...
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Naitwa Paschal, nina miaka 23 naishi njombe natafuta rafiki wa kike ambaye yupo tayari kwa kushare ideas. Namba zangu ni 0755280567/0657050465
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Habari wana JF and great thinkers, Mimi nimmoja wa hiyo nyota hapo juu, ila najaribu kufatilia sifa za hiyo nyota kwa mwanaume huwa wanaendana na kazi zipi na mwanamke wa aina gani huendana nae...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Natafuta rafiki wa kike ambaye tutashilikiana na na kusaidiana mambo mbalimbali, mrembo huyu ni vizuri asiwe mke wa tu lakini awe na mpenzi mmoja yani mimi niwe wa pili, alafu ni vizuri...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Juzi jumanne baada ya Dk slaa kuongea, jioni yake nilipitiliza moja kwa moja Bar kutokana na kuchanganyikiwa, hiyo ilikua ni baada ya kutoka kazini jioni. Tulikua wakereketwa wawili tulioamua...
3 Reactions
46 Replies
7K Views
Wana MMU habari zenu, Mimi kwa kweli tangu nimeanza mapenzi nimeshatoka na wasichana wengi kidogo na wamekuwa wengi kwa saba kila ninapodate na mtu lazima awe na mwenza wake kwa security matters...
1 Reactions
78 Replies
7K Views
Eeeh Mungu! wenye nia njema na wanione ili wanistiri na mimi!!!! Napenda kwanza kutoa salaam kwenu nyote. Jamani nimekuja hapa mbele yenu kwa lengo la kutafuta mwenza ili tustiriane. Najua huwa...
6 Reactions
66 Replies
7K Views
Heshima kwenu. Inakuwaje mwanamke anadhubutu kumvulia nguo mwanaume mwingine tofauti na yule ambaye yupo naye. Hii inatuumiza sana sisi romantic gentleman's because tukipenda ni bhasi and...
1 Reactions
151 Replies
12K Views
Habari zenu wana JF, mko poa? Kwa kweli nilikuwa na mpenzi wangu na nilimpenda sana ila kutokana na sababu tofautu tofauti nikamwagana nae kwa wale wadau wangu watakuwa wameshaelewa kwanini...
4 Reactions
94 Replies
11K Views
Habari wakuu, Kuna kitu leo kimenishitua kidogo kuna binti mmoja tuko naye mtaa mmoja na tunaabudu Kanisa moja kuonana kwetu huwa ni kanisani japo tulikuwa tunaangaliana tu hakuna mtu aliyekuwa...
4 Reactions
55 Replies
6K Views
Hellow wapendwa wangu, Leo tukumbushiane kuhusu heshima.Mwanamke/mwanaume unataka kuheshimiwa jiheshimu. A real woman of virtue need to have class. Being all trashy,nasty,wild and rude with your...
21 Reactions
136 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…