Nyota aries (Punda wa kiume)

Nyota aries (Punda wa kiume)

Lee Napoleon

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2013
Posts
896
Reaction score
568
Habari wana JF and great thinkers,

Mimi nimmoja wa hiyo nyota hapo juu, ila najaribu kufatilia sifa za hiyo nyota kwa mwanaume huwa wanaendana na kazi zipi na mwanamke wa aina gani huendana nae, mwenye nyota ipi na mwanamke mwenye character zipi huwa wanaendana.

Hapa kwenye mwanamke ndo nashindwa kuelewa afadhari hata kazi zake kidogo nazipata naona nabadili sana sichelewi kukinai mwanamke so sijajua inakuaje hapa, siri gani anayo Aries (Punda) katika mambo hayo.

Msaada jamani kwa wasiojua haya mambo.

Pita tu maana ni serious issue maneno ya kwenye kanga sipendi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom