MABATI YA SUNBAK TANZANIA
JF-Expert Member
- Jan 10, 2025
- 217
- 577
Wanawake wakiacha umeingia katika uzee age 60+ wanaanza kujaribu kukuua .
Akishindwa mbinu zake anaanza kutumia Watoto ambao mmewapata .
Sasa wewe Kama Baba usipokuwa makini utashangaa unaanza kutengwa na watoto bila kujua Sababu ni nini .
Mimi ilikosa kidogo nimpoteze Mzee wangu Ila niliamua kuingilia hii VITA kwakuwa Mimi ni mtaalamu wa kumsoma MTU mbaya na kumuua kimya kimya so nilifanya hivyo.
Wanaume kuweni makini Sana na wanawake hasa unapoona umeelekea uzeeni na Una Mali kadhaa chance .
Hawa watoto ni wajinga Sana Mimi ndugu zangu walifanya coalition kumuua mzee Ila hawakufanikiwa kwakuwa nilizitambua mbinu zao mapema na nikawaambia hamtafanikiwa .
Walianza Kumnyima chakula nikawa nampatia Chakula bora kutoka hotelini
Wakaanza kumfukuza kwa Nyumba nikamjengea Nyumba ya kisasa pembeni ya lile ghofu walilokuwa wanamfukuza
Wakaanza kum torture kisaikolojia nikamwambia asiwajibu
So hii hali wanapatia wanaume wengi
Kuweni makini na wanakwake na watoto wako wakiwa vilaza watapewa sumu ili kuue.