Tulifundishwa kuwa Kuna milango mitano ya fahamu.na Kila mlango una kazi maalum
1.macho : Kuna
2.sikio : kusikia
3.pua: kunusa
4.ukimi : kuonja
5.ngozi : kuhisi
Linapokuja swala la tendo la ndoa...
Leo alikuja ofisini kwangu, akaongea ongea ila nilihisi tu hayuko sawa, ghafla akanirukia akanikumbatia kwa sekunde kadhaa huku ameficha uso wake, baada ya muda aliniachia akaondoka kwenda ofisini...
Amekula sana hela zangu.
Amepoteza muda wangu
Ameniharibia network na baadhi ya watu,
Amenitukana sana na kunidharirisha
Wazazi wake wote wananipa maneno mabaya juu yangu...
Na yeye dharau...
Wadau salaam,
Demu wangu niliyekaa nae kwa mwaka mmoja hivi nilimuuliza baada ya kuona anaweza kukaa online bila kunitafuta mpaka mimi nimtafute.
Nilimuuliza kama ana mwanaume mwingine...
Unataka psychological torture? Ndio utaipata siku hizi hata bila ya kutekwa, naaam wadada wa kileo.
Sio wote, ila wengi wao.
Vile maisha yalivyozidi kuwa fast na yenye kuchanganya mwanaume...
Wanangu hivi mdada ambae unadate nae japo sio mara nyingi na wala amuishi pamoja akikwambia ana ujauzito wako huwa mnachukua hatua gani.
NOTE: huyu mdada mara ya mwisho nimesex nae mwezi wa...
Mimi nimeanza ngono nikiwa na miaka 21 sababu zipo nyingi ila mojawapo ni kutojichanganya na makundi yasiyofaa.
Muda huo nilikuwa nashuhudia vijana wadogo zaidi yangu wakizichakata.
Mwanamke wa...
Wakuu, poleni na pilika
Sasa, kuna binti ambaye ni tunaishi nyumba moja,
Huwa anavaa khanga moja anapita akaniona tu anapita anatikisa mzigo sio poa, wengine anapita amevaa amejizinga vizuri tu...
NAMTAKA SINGO MAZA
1 Nimehangaika sana, kuyatafuta mapenzi
Niliowapa amana, hata hawakuienzi
Nikapigwa dana dana, na kufanyiwa ushenzi
Namtaka singo maza, ndie nitayemuoa
2 Aloumizwa ja mimi...
Kwanini Mtu anapomaliza kupiga NYETO (Kujichua) anaanza kujutia kwa kitendo hicho?
Habari wadau tushirikishane suala hili kwanini inatokea hivyo?
Uzi huu isifutwe majibu ya hapa yatasaidia...
Wataalamu,
Acheni tu, leo mjukuu wenu Niko oves sana.
Nimegundua Dem wangu kumbe anafanya kazi ya kujiuza huko Ulaya.
Kilichonifanya nigundue ni kama bahati tu. Nimewasha VPN ikasoma UK halafu...
Unakuta kipindi hicho umefwafwanzika life halisomi na kila mwanamke unaemtongoza anakutolea nje "utasikia nataka bwana wa maana huna hadhi ya kuwa na mimi"
Sasa maisha yamekunyookea umejipata...
Akili zao wanazijua wenyewe!, kamshawishi rafiki yake anitege nami babu rambaramba nikategeka!,nae alietumwa kadata na penzi limemkolea baada yakukutana na huba toka anga za unyamwezini...
Wakuu sisi wanaume sometime tunajitwika mizigo mizito kichwani ipo hivi.
Nilianza kudate na mdada fulani sio mzr sana mweusi kifupi anasura ya baba ila kabarikiwa shundu la kwenda yani huyo dem...
Mimi ni msichana pekee na mtoto wa mwisho kwenye familia yangu. Nina kaka zangu wawili ila wamenipita kidogo kiumri na siko karibu nao sana kwa sababu tokea nikiwa mdogo, huwa wananiona kama mtoto...