Hi Forum,
Natafuta sugar mummy mwenye umri kuanzia miaka 45 nakwendelea. Awe na biashara au mfanyakazi. Mimi nipo kwenye Mining industry nipo late 30s.Ningependelea sana awe anaishi dar, that...
Wakati nafunga ndoa nilidhani mke wangu ndiyo angenizalia mtoto wa kwanza.lakini cha kushangaza mchepuko ndio umeniambia una mimba yangu.
sasa. sijui nikatae au nikubali nipo njia panda.
Na mke...
Imekuwa kama fassion hivi kulikuta gari nyakati za usiku limepaki mahali huku likinengeneka.
Ukijaribu kuchunguza vizuri unakugundua kuna mwanamke anagegedwa na ni mke wa mtu.
Wanaume mlio oa...
DADANGU
UNATONGOZWA AU UNAWATONGOZA WEWE?
Kuna kisa kimoja nimekisoma mahala kikanivutia kiasi nikaona si vibaya nikakiweka hapa na dada zangu wengine wakapata kufaidika, japo kidogo nao wakaweza...
Ni kama amehisi kuna kitu kinaendelea.Leo wakati najiandaa kwenda kazini kaniita pembeni na kuniambia kuwa anataka niende Tanga ukweni tukasalimie lakini kwa sharti kuwa tukirudi Mimi na mke wangu...
Habari wapendwa, nimekuja humu maalum kwa ajili ya kupata ushauri wenu ingawa sio mgeni kivile, mimi ni mdada mwenye umri wa miaka 30 ni muajiriwa katika shirika moja la serikali hapa jijini...
Mambo vipi wanaume wenzangu?
Ebana mpenzi wangu akiumwa huwa anageuka kero jamani,kila akiniona ndo madeko yanazidi,mara anataka kula kitu flani nikimletea anakishka kidogo tu anasema...
BADO NAMTETEA MWANAMKE
Bado niko Dodoma, ni bahati nzuri kwamba mchana huu tumekuwa na mjadala kuhusu mwanamke. Bado kuna watu hawamwelewi mwanamke, bado wanamshusha, wanamchukulia tu kama...
Hellow
Nahis baadhi ya hawa dada zetu wana 100 ways of exploiting and using men, kwa selfish reasons zao.
Juzi Juzi kuna mdada ambae ni classmate wangu nlimtembelea ghetto kwake FOR THE...
Mke wangu ana kiburi kweli, na akikosea hataki kukosolewa ana kasirika na kuwa kimyaaa au analia na hajui kuomba msamaha, nikimuuliza kwa nini anafanya hivyo anadai amechoka.
Nimejaribu...
Nilipofika nyumbani usikuule, mke wangu aliponitayarishia chakula, nilimshikamkono na kumwambia, Kuna kitu nataka nikwambie. Mke wangu alikaa chini na kulachakula kimya akiwa tayari kunisikiliza...
Kama wewe ni girl age 18-35 na unaitaji mahusioni ya kweli na dhati kutoka kwa mwanaume atakayekujari,kupenda na kukupatia matunzo yote muhimu tafadhar ni PM.
TYPES OF HUSBAND
1: BACHELOR HUSBAND
Does things on his own without consulting wife. Hangs out a lot with friends more than wife. Not serious about marriage life.
2: ACIDIC HUSBAND
Is always...
mimi ni mvulana wa miaka 23, sasa niko chuo namalizia mwaka wa tatu, na natafuta msichana ambaye tutaku pamoja as friends na if God wishes tuwe loers.
my qualities:
urefu: 150 cm
rangi: maji ya...
Kumekua na visa vingi sana huku mitaani vya mapenzi,watu wanauana,wanajiua wenyewe na wengine wanawekeana visasi kwa sababu ya mapenzi.sasa mnaonaje tukimshauri magufuli pindi akishakabidhiwa...
Natumaini hamjambo humu ndani, same here.
Nina umri wa miaka 27 (mwanaume), ni mwanasheria, nimemaliza Mzumbe Chuo Kikuu mwaka 2012 na baadaye kujiunga na mafunzo ya Uanasheria kwa vitendo mwaka...
Habari zenu waungwana,
Leo naona na mimi niwasanukie hawa wavaa sketi ambao wanajiita kizazi cha doticom.jamani sio kilakitu chakuiga katika mapenzi, wengi wao sikuizi wana fake mambo mengi sana...