Offer yangu kwa wana MMU Oktoba hii

Offer yangu kwa wana MMU Oktoba hii

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
8,522
Reaction score
14,004
Heshima kwenu wadau MMU,

Nimekuwa mtumiaji wa MMU na JF kwa ujumla,nimefaidika kwa mengi na zaidi kutangaza na kuungwa mkono kwenye biashara yangu ya Utali.
22/10/2015 Nitakuwa na day trip ya kupanda mlima Kilimanjaro (hiking) kupitia njia ya Marangu hadi Mandara hut 2700m/8860ft
Trip itatumia saa takribani 7 toka getini Marangu hadi Mandara hut na kurudi getini Marangu.

Nina nafasi 3 za BURE kwa wana MMU,Utakachochangia ni kiingilio chako dola 2 na chakula chako cha mchana na maji.

Usafiri wa kwenda na kurudi utakuwepo katika miji ya Arusha na Moshi.
SIFA:
Uwe na afya njema na uwezo wa kutembea si chini ya saa 7(hiking) na uwe member JF
Mwisho wa kujiandikisha 20/10/2015, first come,first save.

Jiandikishe kupitia tours@infotanzania.net
 
Ningekuwa mkoani kilimanjaro ningekuunga mkono.
Sipo huko kwa sasa.
 
Good idea wadau fursa hiyo tudumishe utalii wetu wa ndani
Mimi binafsi nilishapanda mlima kilimanjaro asee
Ni adventure nzuri sana unaweza hisi kama upo edeni teh teh
Watanzania tujifunze kuendeleza vyetu siyo kila vocation unaenda paris S.A wakati hata mlima klm hujui ukoje daaah
Im done
 
Mimi ningekuja.......lakini sina kawaida ya kupanda vitu vyenye mwinuko.........
wacha nisubiri offer nyingine.......kama wanyama.......mimea......na beach sana sana..........
 
preta mtata ngoja nikupe offer ya kwenda Zanzibar weekend moja ngoja uchaguzi upite

Kupanda mlima kilimanjaro si sawa na kwenda mbugani au kuogelea beach.
Ile ni adventure inayotesa, kama una afya mgogoro usifikirie hata kuwaza kupanda.
Nimepanda ule mlima kwa nyakati tatu tofauti, na kila wakati nafika hali ambayo najuta kwanini nilipanda.
Ukishuka ndo unafurahi lakini kule juu ni mateso tupu.
 
preta mtata ngoja nikupe offer ya kwenda Zanzibar weekend moja ngoja uchaguzi upite

Naanza kupaki........si bado wiki.......
rais tutamsikilizia kule kule akitangazwa...........
 
Kupanda mlima kilimanjaro si sawa na kwenda mbugani au kuogelea beach.
Ile ni adventure inayotesa, kama una afya mgogoro usifikirie hata kuwaza kupanda.
Nimepanda ule mlima kwa nyakati tatu tofauti, na kila wakati nafika hali ambayo najuta kwanini nilipanda.
Ukishuka ndo unafurahi lakini kule juu ni mateso tupu
.

Unaona sasa........hiyo ndio sitaki...........
 
Hiyo ni hobby mkuu.
Kama huna interest usifanye kabisa.
Ni sawa na mimi ninavyochukia ile harufu ya maji ya bahari.
Mambo ya beach siyapendi kabisa.
 
Re: Offer yangu kwa wana MMU Oktoba hii.Rudia tena na tena kusema ni Marangu gate to Mandara hut to Marangu gateHilo neno Horombo limetoka wapi? Tuwe tunasoma na kuelewa,nimeandika Kiswahii chepesi,bado sieleweki,sasa niandike lugha gani? sentence hii inaonyesha hupendi kukosolewa
 
Huwezi amini Nungwi hakunuki kabisa..........hata Kendwa.........
 
Nimeshafanya clarification hapo juu.Asante,kama kuna kingine nimekosea niambie tu mkuu!!

Re: Offer yangu kwa wana MMU Oktoba hii.Rudia tena na tena kusema ni Marangu gate to Mandara hut to Marangu gateHilo neno Horombo limetoka wapi? Tuwe tunasoma na kuelewa,nimeandika Kiswahii chepesi,bado sieleweki,sasa niandike lugha gani? sentence hii inaonyesha hupendi kukosolewa
 
Mimi ningekuja.......lakini sina kawaida ya kupanda vitu vyenye mwinuko.........
wacha nisubiri offer nyingine.......kama wanyama.......mimea......na beach sana sana..........
trh 27 naenda Mikumi nina nafasi ya msichana mmoja,tutakaa usiku mitatu
 
Back
Top Bottom