Mapenzi ni gharama

Mapenzi ni gharama

boyson onlye

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2015
Posts
1,108
Reaction score
1,404
Mapenzi matam ila ikifika hatua ya kuhonga ninakuwa katika wakati mgumu hasa pale utakuta msichana unamtongoza saa mbili saa sita anakuambia hana ela ya kula.

Baada ya siku tatu anakuambia kodi ya chumba imeisha, kama mwanazuoni anakuambia pocket money imekata wakati huo anataka muende Marry Brown, KFC, na sehemu nyingine mkafurahi.

Bado hajakuambia mambo mengine ya mihimu kwa mwanamke ambayo anayafanya karibu kila siku yaani hapo ni kusuka, rangi kucha, bajaj, nk.
 
Mkuu nilifikri haya yananikuta mimi tu, kumbe tuko wengi!! ila tuache uongo ile kitu ni tamu bhana.
 
KFC ya bongo chakula chao kibaya sana.

Kuku wao hawana ladha kabisa.

Wakati mwingine huwa nahisi sio kuku wale.

Huenda ni midege mikubwa mikubwa ya porini ambayo kwa kawaida huwa hailiwi na watu.
 
Ili ni tatizo sugu.Natumaini Lowassa akiingia madarakani atalitatua.
Mapenzi ni hasara.
Madada wa kibongo wanyonyaji sana.
Bora wazungu.
 
KFC ya bongo chakula chao kibaya sana.

Kuku wao hawana ladha kabisa.

Wakati mwingine huwa nahisi sio kuku wale.

Huenda ni midege mikubwa mikubwa ya porini ambayo kwa kawaida huwa hailiwi na watu.

I thought I was the only one noticed.
 
I thought I was the only one noticed.

Theirs [KFC Tanzania] is the most bland fried chicken I've ever eaten.

If they don't get their act together they will be ran out of town in no time.

Their French fries are okay, though.
 
tafuta wa class yako mpendwa,acha kudate usikoweza hudumia maana utaumia
 
Ili ni tatizo sugu.Natumaini Lowassa akiingia madarakani atalitatua.
Mapenzi ni hasara.
Madada wa kibongo wanyonyaji sana.
Bora wazungu.

Hivi alisema hata mapenzi itakuwa bure eeeh? sema nifurahi maana sijaudhuria mikutano yake ya hivi karibuni
 
nmekutanae njian nkamuimbisha akaingia lain, oh nachelewa nyumban mara naomba naul, jaman? naomba hela, si mbaya jaman lakn kuipata hyo papuch n shda na ndo maana wa2 huwa wanafanya kama kukomoa kumbe hapana
 
Theirs [KFC Tanzania] is the most bland fried chicken I've ever eaten.

If they don't get their act together they will be ran out of town in no time.

Their French fries are okay, though.

The thing is I guess most of their customers,dont know the real taste of KFC's so maybe they still assume thats the best. Because I've seen they keep on opening new branches. That sound their business is good,or maybe in a long run.
 
Pole mapenzi garama ukiogopa kuhonga utachapiwa kila cku
 
Ohh..., umeshaacha kula kwa mama mkwe na gelofurendi wako!? boyson onyle
 
Last edited by a moderator:
Hicho kinatukuta wanaume wengi. Mabinti wengi hawajajengwa kujitegemea.. wengi wanategemea kupewa tu. Waweza kukuta hata mkeo mna salary sawa, lakini atakomaa wewe mwanaume ulipe ada za watoto, utoe pesa za chakula na mambo mengine. Kwa hawa mabinti wa leo ambao wako hivyo wanaambulia kukimbiwa kila kukicha.. kwa miezi sita anaweza kukimbiwa na wanaume hata kumi.. sababu styles zao ni hizohizo. Wako wachache ambao wako very very smart, lakini kumpata binti wa hivyo ni shughuli. binti kama huyo aliye smart ndiye hasa anafurahia mapenzi.
 
tafuta wa class yako mpendwa,acha kudate usikoweza hudumia maana utaumia
Nini class yako.... mtu yuko na mkewe ndani wamezaa watoto saba.. bado mwanamke hata hela za mboga hatoi.. Hovyoo kabisa!
 
Hahahah nashkuru wakwngu wawil wte wana nitoa mahela ila huyu mmoja wa kichaga ndo nmeshindwana nae kwajili ya kuataka sana hela ila jman n mtamuuu
 
KFC ya bongo chakula chao kibaya sana. Ukilinganisha na ya nchi gani?? ambayo ulienda ukiwa ndotoni??

Kuku wao hawana ladha kabisa. kama hawana ladha ulijuaje ni kuku???

Wakati mwingine huwa nahisi sio kuku wale.mbona hueleweki.

Huenda ni midege mikubwa mikubwa ya porini ambayo kwa kawaida huwa hailiwi na watu.
kwa hiyo midege mikubwa uliijuaje???
 
WE Hudumia tu, kuna wadada wanatoka nyumba za kifahari ila wazazi wanakazana kuufuta umaskini na hawakazani kuwaremba watoto unaweza ukakuta mzaz ananunua nguo za watoto sikuku za x mass na pasaka tu hiz nyingne haangaikii, ndo kunawakat unataman uendane na fasion sasa unaboy kila mkikutana unanguo ya sikuku unafanya kuchange leo ya xmass kesho ya pasaka khaaaa! Alaf unawaambia marafk kuwa na boyfrnd yupo BOT, TRA, CRDB anamagari na nyumba juu,,, jaman iv si aibu kichwan unasuka kwa maden mtaan kisa upendeze na mkutanapo matembezi sifa ya kwanza apewae ya kukupendezesha ni huyo boyfrnd kumbe ukichunguza hata vocha hatumi,,..

Sasa acheni wawaombe ili wapendeze.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom