Kwanini wanawake wengi hawapendi kujishugulisha kwenye tendo la ndoa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini wanawake wengi hawapendi kujishugulisha kwenye tendo la ndoa?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Oxlade wilshare, Aug 27, 2012.

 1. O

  Oxlade wilshare Member

  #1
  Aug 27, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani wana Jf hivi ni kwa nini kina dada wengi hawapendi kutoa ushirikiano kwenye tendo la ndoa wanakuwa wanalala tu wanakuacha mwanaume uhangaike kwa kila kitu..!!?.
   
 2. Heart

  Heart JF-Expert Member

  #2
  Aug 27, 2012
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 2,659
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  Mmh... Sio wote, labda wa kwako anahitaji tuisheni..
   
 3. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #3
  Aug 27, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,223
  Trophy Points: 280
  wanawake wengi wangapi?

  Kama wakwako ni mgogo usidhani wote magogo.......

  Anyway wewe mwenyewe unajishughulisha?

  Au wewe unapiga mchiriku mwenzio mdumange? Hapo lazima asijishughulishe....

  Loh...
   
 4. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #4
  Aug 27, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Kwasababu hauwaexcite!
   
 5. N

  Neylu JF-Expert Member

  #5
  Aug 27, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 2,650
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Usi generalize bana... Wee sema hivi "huyu Mwanamke wangu hajishughulishi kwenye tendo la ndoa" ..!
   
 6. Jodoki Kalimilo

  Jodoki Kalimilo JF-Expert Member

  #6
  Aug 27, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 8,628
  Likes Received: 2,049
  Trophy Points: 280
  Hakuna chuo cha haya mambo kama vipi mfundishe au wewe nani amekuambia kwamba mwanamke anatakiwa ajishughulishe? Kuna mwana JF mmoja aliandika kama kila mtu anapofanya ngono anatoboka basi kuna watu wangekuwa kama wavu, mtoa mada nadhani ni miongoni mwao
   
 7. HP1

  HP1 JF-Expert Member

  #7
  Aug 27, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 3,353
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Wangu anajishughulisha mpaka raha
   
 8. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #8
  Aug 27, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  hivi, ukiwa unakuna sikio na cotton bug, raha uchezeshe chezeshe kichwa au utulie kama unanyolewa usikilizie??

  Hii nayo iwe roketi sayansi??
   
 9. Root

  Root JF-Expert Member

  #9
  Aug 27, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,217
  Likes Received: 12,928
  Trophy Points: 280
  heheh wapo wengine noma ukilegea wanakata nanihi
   
 10. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #10
  Aug 27, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,223
  Trophy Points: 280
  loh nimecheka kwa loudspeaker
   
 11. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #11
  Aug 27, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  bwana, haya mambo haya magazijuto.

  Wengine migongo imetengenezwa kwa mbao.

   
 12. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #12
  Aug 27, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,823
  Likes Received: 922
  Trophy Points: 280
  Wape hela waondoe mawazo wajitume lol ha ha ha ha
   
 13. K

  Kindimbajuu JF-Expert Member

  #13
  Aug 27, 2012
  Joined: Jul 8, 2009
  Messages: 711
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  kwanini wewe ni mvivu wa kutafuta wanawake wanaoshughulika kwenye tendo la ndoa?. kila mwanamke unaye tafuta hashughuliki kwenye tendo la ndoa, nawe shughulika kupata anaeshughulika kwenye tendo la ndoa
   
 14. Nambe

  Nambe JF-Expert Member

  #14
  Aug 27, 2012
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 1,455
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  A Lot Of Trouble In The World
  Will Disappear,
  If Everyone Learns To Talk To
  Each Other
  Instead Of
  ...Talking About Each Other ... !!
   
 15. mathematics

  mathematics JF-Expert Member

  #15
  Aug 27, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 3,287
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  sio mademu wote wavivu, mapenzi ni sanaa na ujuzi binafsi pia,

  Kuna kademu changu cha ki-tanga ebhana eeh ni balaa anavyoshughulika, anavyozungusha hicho kiuno na hizo pumzi alizonazo!!!

  Kuna demu niliwahi kuwa naye yaani alikuwa ni gogo+++ , hata mikao ya kukaa hajui !
   
 16. N

  Neylu JF-Expert Member

  #16
  Aug 28, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 2,650
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Huyo unayesema alikuwa gogo na mikao hajui, ulimwelekeza akawa bado haelewi? Mi nadhani kama una mpenda mpenzi wako, ukimuelekeza kwa ustaarabu anaelewa... Kwani kuna ugumu gani wa ajabu mno mpaka ashindwe kuelewa jamani??
   
 17. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #17
  Aug 28, 2012
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Hivi watu wanataka haya mambo nayo yaingizwe kwenye mtaala wa shule ya msingi??

  Babu DC!!
   
 18. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #18
  Aug 28, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,278
  Likes Received: 1,716
  Trophy Points: 280
  Mimetoka kuangalia movie moja kali inaitwa love net. Ni ya 2011 kw hiyo bado mpya.

  Nikakumbuka mdada alikuwa analalamika huku JF kuwa mume wake anachat na wasichana wakiwa watupu through skype.

  Hii movie bana inahisu wanandoa ambao wamefikia wakienda kulala kila mtu anatazama upande wake; mke kachunguza akagundua mumewe yuko addicted na internet dating...anabadili tu wanawake anaowapata kupitia mitandao...muda wote yuko na PC. Siku moja kasahau laptop yake ndo ikawa arobaini yake.

  Mke kachanganyikiwa..kaamua na yeye ajiunge na hayo mambo ya kujianika kwenye mitandao kutafuta wanaume...na target yake ilikuwa ni mumewe...movie kali sanaaaa.

  Mume toka akutane na huyo new date Monica (alitumia fake name) akachanganyikiwa kabisa; akawa anatafuta njia wakutane..Monica hataki...lakini kwa ufupi ali fall vibaya sana kwa mkewe...na mpaka akatafuta jinsi (illegal) kutrace Monica ni nani na anakaa wapi?

  Si ndo kujua ni mkewe...alikuwa mdogo ka pilitoni. Lakini walirudisha mapenzi zaidi ya zamani...na inaisha husband anamwambia kuwa aendelee kuwa Monica (fake identity) kwa kuwa amefall in love naye.


  Hii imenifanya nione kuwa kama mlishawahi kuwa crazy in love once ...mnaweza rudisha mapenzi upya kama kweli mna nia...at least mmoja wenu inabidi a-work hard.

  Unaweza tumia ukweli kuwa unamfahamu mkeo zaidi ya mwanaume mwingine yeyote kurudisha mapenzi yenu...lakini kama ulichukua time kumjua kipindi mapenzi yakiwa moto moto.Lol.
   
 19. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #19
  Aug 28, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,670
  Trophy Points: 280
  Leo napitia pitia tu,nadhani hapa ni wanawake zaidi!
   
 20. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #20
  Aug 28, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  wanawake wengi? una percentage?
  au unazungumza from experience?
  Usiombei kukutana na kina Erotica!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...