Habari zenu wapendwa,
Nimeolewa na nina mtoto mmoja na nampenda sana mume wangu.
Mimi na hubby wangu tumekaa ktk relationship for more than five years ndipo tukafunga ndoa.
We were so much...
Habari wanajf,jaman naombeni ushauri kuhusu hili maana mpaka sasa sijaelewa anamaanisha nini..mmi nina mpenzi wangu ambaye huu sasa ni mwaka wa tatu nipo nae sasa hivi juzi kati wakat tupo...
Hivi ulishawai kupenda vitu flani flani kutoka kwa mwanamke awe wako au sio wako au mchepuko vyovyote vile ila awe mwanamke... Hakuna kitu kina nivutia kwa mwanamke kama vidole vyake hasa vya...
Educated from diploma to degree level,serious you want marriage,u have a good vision of what u want in marriage,u like to create ur family!!!u have a good shape!! .job or jobless!!!.here lm ur man...
Kwenye mapenzi ya dhati, kula tunda ni kiunganishi, na kinapendeza zaidi wote mkifika kwenye kilele.
Pesa pia nayo ni pambo la penzi, zikiwepo kunakuwa na vacations, outings, candle light dinner...
Mambo vipi hapo,
Ni hivi mimi ni fundi bomba maarufu hapa Singida sasa kuna wakati niliitwa na jamaa mmoja hivi nikamtengenezee bomba ilikuwa inamwaga maji hovyo. Sasa nilifanya ile kazi hadi...
Habarini wana MMU,Natumai wote ni wazima kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu na wale ambao si wazima Mungu awaponye.
Wapendwa leo ningependa tujadili juu ya usiri wa mali katika ndoa,Katika jamii ambayo...
Mchumba wangu alinisaliti miaka 2 sasa ila alinitaka tuendelee kua marafiki wa kawaida nakunieleza kua kashampata mwingine na kunionesha picha zake, cha kushangaza zaidi ameskia naenda chuo kikuu...
Hawataki kukosolewa....
Kuna ukweli kwamba, mwanaume ana namna tofauti ya kuyatazama na kuyakabili mambo, hasa anapokuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi. Kwa mfano, mwanamke anapokuwa maarufu, ni...
Mimi ni kijana wa miaka 23 niko chuo degree mwaka wa 3 Dar es Salaam. Niko single na ninatafuta mpenzi wa kuwa nae kwenye mahusiano.Aliyetayari ani PM kwa mawasiliano zaidi
Namtafuta rafiki angu kwa jina anaitwa JIMMYSON HENRY MOSES!
Kwa muonekano ni maji ya kunde,mrefu wastani na ana asili ya ungazija kutoka visiwa vya comorro!
Tulipotezana mwaka 2011,ye alikuwa...
Habarini wadau,
Poleni na majukumu asee ndio maisha mkono uende kinywani tu.Jamani mapenzi matamusana asee ukitaka uinjoi mapenzi basi we jitoe ufahamu tu. ishi kama hakuna logic duniani na...
Jamani nimeokokoa mwenzenu,juzi nimejitafakari nikaona kuwa nahitaji maombi kwani kwenye sekta ya mapenzi sina bahati,nikaenda kwa mtumishi mmoja nikamuelezea akasema inabidi kufanyiwa...
Outrage as Maryland bride presents Christian pastor father with 'certificate of purity' signed by a gynecologist on her wedding day to prove she's a virgin
Brelyn Bowman presented pastor father...
Ladies and Gentlemen,
This is to all men out there :A S kiss:………………………. Enjoy your week end na malavi davi. Don't let uchaguzi uchukue...
Siku yangu imeisha vibaya sana leo.
Niko kijiwe changu cha kuuza mbao, biashara hamna kabisa. Napigiwa simu na mama tunafahamiana kwa karibu anatuma watoto wake kuja kununua mbao. Nikaanza...