I Ihave Got a good men i wish angekuja hapa akasoma. Wanaume wazuri bado wapo kumbe wanaume waliotulia bado wapo kumbe, i thank God for this Guy i never thout i could fall in love again m not...
¤ Kazi zote za nyumbani anamwachia dada wakazi.
¤ Kazini kwake amesha vuruga na wenzake karibia wote mpaka bosi wake.
¤ Kachukua mkopo 12m toka bank ya crdb hajanishirikisha mwezi wa tatu sasa...
Jinsia yangu: mwanaume
Natafuta mchumba wa kike
Lengo: Kuoana kama tukiridhiana
Umri wake : Asizidi miaka 25
Mwonekano wake: umbo la wastani, ( asiwe mnene sana au mwembamba sana)
Elimu yake...
Habarini humu,
Kwanza nawapenda mabinti, nawaheshimu na kuwathimini sana.
Nimefanya utafiti wa kutosha kwa hawa ndugu zetu. Kipindi unapowafuatilia yaani kuwataka kimapenzi huwa wanatoa...
Wadau,
Kuna Jamaa mmoja tunafanya kazi ofisi za karibu hapa Town hivyo sometimes tunakutana Lunch hour kwenye menu jirani na tunapofanyia kazi, na bahati nzuri zaidi Mke wa huyu jamaa alikua...
Mara baada ya kumtongoza tu alifungua gunia la shida utafikiria mimi ndo nilimtwika.
Hata mzigo sija gonga. Mara nimeipenda T-shirt yako naiomba, mara sijala tangia jana, mara ninashida na elfu...
Eti Jamani inawezekana hii? Mama kazaa watoto wawili mapacha, muda mmoja , saa moja, hospitali moja na mganga alomuhudumia ni mmoja. lakini baba mtu kamkataa mtoto mmoja anasema si mwanawe eti...
Wanawake wa siku hizi mnachagua mno yani tofauti na mama zetu ambao walijali upendo zaidi huku wakiamini maisha ni kutafuta hivyo walizaa na baba zetu bila kujali kwamba walikuwa na hela au laa...
Salamu kwenu wadau,
Nashukuru sana wana jukwaa hili kwa mchango wenu wa mawazo na njia mtaoza anapokwama mtu,hakika huo ndio upendo wakweli.Niliomba hapa ushauri wakati fulani yakuwa niweakati...
Haiyaa poleni na mambo ya uchaguzi,
Mungu ni mkubwa hatimae tumpempata Rais mpya, maisha yanasonga.
Back kwa topic , Ndoa ni kitu kizuri sana pale panapokuwapo na utayari wa mioyo ya pande zote...
Siku ya kwanza nilipooa nilijisikia raha sana. Nilipokwenda honeymoon sikutaka kumwachia kabisa my honey, nilikuwa nataka kila muda tu tugegedane! Mpaka leo miaka kadhaa ya ndoa hamu haijapungua...
Vijana wengi hawaoi wala kuolewa sababu ya maisha magumu,tutegemee hali hii kuendelea kwa miaka mingine mitano, kama binti una miaka 30 hujaolewa ndio basi,pia kukataa mimba kutaongezeka sana...
Salaaam hapa jukwaani wote.
Tuchangiane mawazo katika hili.Maana kuna rafiki yangu mmoja wa kihindi aliniambia wao wanaoa halafu wanapenda,wakati sisi waswahili wengi wetu tunapenda halafu...
Miaka yangu 24,natafuta NTU ambae ana sifa yeyote apo juu
Kama mwanamke awe mchumba au hata urafiki wa kawaida
Kama Me awe rafiki wa kawaida wa kushare experience za maisha.
Habari za huku.
Hongereni kwa uchaguzi ulioisha hivi karibuni.
Ndugu wanajamii nina mke ambae ana wivu na mimi mpaka nafikiri kumuacha maana hataki hata niongee na watu wa jinsia yangu.
Yeye...
(By Dayan Masinde)
24. ?Attractiveness?
This is the unique thing that makes a man pursue a woman from the beginning. If a woman wants to keep on being pursued she should remain attractive, even...