Nimelazimiki kuwaza hivi kutokana na haya mapenzi kutusumbua vichwa, yani watu wazima na heshma zetu ni vipi tunateswa na mapenzi kiasi hiki?
Yani mtu unahangaika kutafuta hela kwa ajili ya...
Kwakweli nimekua nikitafakari sana hii kauli ya "tutakuwa wote katika shida na raha" ambayo huwa inatumika sana wakati wa kufunga ndoa inaniletea utata sana kwani nimejaribu fanya research ndogo...
WanaJf naamini muwazima wote,
Nimegundua hapa duniani wanaoishi kwa amani na kujiamini ni wanaume lakini wanawake ni wapambe tuu haminini msiamini hili jambo sio rahisi kuligundua bila...
Wengine huoa kwa kutafta watoto,
Wengine mapenzi,
Wengine mtu wa kisimamia biashara.
Wengine company.
Wengine kwa sababu ya umri kusogea.
Wengine kupata wa kulea watoto.
Wengne kupata wa...
Heshima kwenu!
Naomba ushaurg kwa mambo yafuatayo;
1) Je kama mwanaume alifunga ndoa ya kanisani (katoliki),halafu ndoa ikavunjika kwa talaka mahakamani,anaruhusiwa kufunga tena ndoa nyingine...
Nelson Mandela baada ya kutoka gerezani, kila mtu alipenda aone shujaa huyo pamoja na familia yake, akiwemo mkewe kipenzi Bibi Winnie Madikizela Mandela aliyetaabika kwa muda wote wa miaka 27...
******MATESO YANGU*******
********SEHEMU YA 001********
Ilikuwa Yapata Majira ya Saa tano na Nusu usiku nikiwa kwenye gari nikitokea maeneo ya Tegeta nikielekea Nyumbani Kigamboni. Ulikuwa...
Wanajamvi kama kawaida yangu mgeni nisiyekosa neno nimerudi tena na tafakuri hii,kutokana na kusalitiana na mahusiano mengi kulega lega sana hasa kwa vijana wa kileo a.k.a. Makeup boys siyo sahihi...
Dah! Inaniuzunisha ila ndio hivo amenikimbia na kuniacha solemba huyu mpenzi wangu kisa tu nakoroma sana.Ilikuwa kama utani mara nyingi ananiambia we sikununu unakoroma sana kama chura mda...
Anikulapo Kuti akiwa na wake zake watatu wakati wa ndoa yao.
FELA Anikulapo Kuti, raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) ametoa mpya kwa walimwengu kwa kufunga ndoa na wanawake watatu...
Kuna msichana nilikuwa naye katika mahusiano, alikuwa ananipenda kweli na katika mapenzi ya kitandani alikuwa vizuri tu. Kasoro kitu kimoja.
Alikuwa hataki tupigane denda wakati denda ndo ulevi...
For chat, social drinking and hangout.
Age 22 - 30, clean and sound mind. At least a diploma. Tall. Preferably 1 or 8 but not 0. Must have a smartphone and not a friend with dala dala. Non...